Blog za kina dada

Lakini msi generalize wanawake wote. There are some women who are smart & intelligent who are more than capable of discussing intellectual topics. Tuseme tu hao madada wenye hizo blog they try to talk about what they are good at or at least think they are good at.
 
ulisoma mathematics? approximation 1.7 ni 2 hio mkuu....kati ya blog 10 basi 7 upupu mtupu.....zimejaa picha za beyonce na RiRi
 
women ARE WOMEN!and they will always look ALIKE!wanawake maisha yao ni kama some people VERY FRUSTRATED!
 
Watu wana blog for a purpose,na kila mtu ana puprose yake so watu wote wakisema wa blog about politics kutakuwa an raha gani jamani eeh.
Perez hilton ana blog abaout gossip na huyo saa hizi big time celebrity tslk tsk tsk tsk.

Kuna blog za aina nyingi tuu fashion,gossip,bossip na watu wengi tuu huingia huko kuangalia what is going on with fashion na vitu kama hivyo.so its not only about women kuongelea ngono kama mtu hiyo ndiyo fun yake na inamuingizia kula sioni tatizo lolote.siyo lazima wote tuwe sawa kwenye kila kitu.
 
Kuna baadhi ya men humu JF wabishi kweli na wanagubu sijapata kuona. Naona hapa tutabishana hadi basi. Huo muda mie sina.
mnaona? huyu kesho atataka kushindana na mwanaume eti.....nyie ni watu wa jikoni tu.....yaani eti hapa kaona tunabishana bwahahahaha
 
Huna factual data za ku support arguments zako. Unabisha kutokana na imagination uliyo nayo kichwani. Rudi shule ujifunze jinsi ya ku argue...
Nyani mie siwezi maubishi ndugu, na siwezi rudi skul kwa kujifunza kuargue na JF men.
 
mnaona? huyu kesho atataka kushindana na mwanaume eti.....nyie ni watu wa jikoni tu.....yaani eti hapa kaona tunabishana bwahahahaha

anakimbilia kusema tunabishana kwa sababu hawezi kutoa ushahidi wa kile anachokisema. mara nyingi mtu ukibanwa ndio unakimbilia kusema huna muda...vichekesho kweli.

mtu unasema owner wa zeutamu ni mwanamme...okay...toa ushahidi basi
 
women ARE WOMEN!and they will always look ALIKE!wanawake maisha yao ni kama some people VERY FRUSTRATED!
dio maana utawasikia ..haki sawa.....viti maalum,gender sijui nini......yaani feminisim......
bado niko pale pale waje an vitu vipya sio kila blog zao ni mapicha ya celeb wa majuu......
 
mtu unasema owner wa zeutamu ni mwanamme...okay...toa ushahidi basi
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........
 
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........

unaona..wewe umefanya inavyotakiwa. umetoa kidhibiti cha kile ulichokuwa unakisema.

sio unatoa mi accusation tu kama umelewa....
 
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........
Hhahahahah!!! Utasema yote.
 
unaona..wewe umefanya inavyotakiwa. umetoa kidhibiti cha kile ulichokuwa unakisema.

sio unatoa mi accusation tu kama umelewa....
Sina time ya kutafuta facts za blog za watu kama ni wanawake au ni wanaume. Nyie wenye muda huo ndio mtupe ukweli.
 
wamepewa kipindi leo tena,nadhani ndo kipindi pekee KIBAYA KABISA clouds fm
 
Mbona mnampiga mande binti wa watu jamani yeye anato ahoja yake (agee to disagree).Si amesha sema kuwa ameteleza,kwa nini yasiishe tuu.

Huyo mwenye utamua we mwanamke au mwanaume still anahitaji adhabu kw akudhalilisha watu kwa kupotosha watu.It doesn't matter really nani ana own utamu.
 
Kuna baadhi ya blog za kinadada ni nzuri na zinaelimisha, kuna moja niliiona nadhani inawalenga wakristo zaidi ila ni nzuri maana inaelimisha sana. inaitwa womenofchrist.wordpress.com
 
Back
Top Bottom