Blog za kina dada

Probably ngono and partying and gossiping are the only things they know....
sawa sawa.....jamani mpaka sasa hivi sijaona blog ya wakina maam/dada iliyo serious zoote ni ngonno( Dinah nakubaliana nae kawafundisha sana wadada waliokuwa wavivu wa kungonoka) huyu anahitaji pongezi na alianza kama ilivyo kuwafundisha hawa lazy ladies wanaonenepeana kwa kula kula....

.....zilizobaki zoote kazi yao ni kukopi parris hiliton kavaa nini leo na kubandika kwenye blogu zao.....na zimejaa umbea umbea......haizina tija.....kama mnabisha mkiangalia hata zeutamu angalieni ni picha zipi zilikuwa zinatumwa kama si za wanawake an watumaji wakiwa wao wenyewe.......
....tusiende mbali wakuu angalie hata hapa JF hawazidi wanawake wa2 wanaochangia mambo serious.....wengi kaangalieni kwenye jukwaa la mapenzi...ndio maana nawaambiaga wana maneno ya saluni wananiona hamnazooo...

women ni weak narudia na hakuna wa kubisha kama yupo aje.....mashori type za ninaowaona na blog zao hatuwezi kukaa meza moja.....
 
wanawake badilikeni mje na kitu kipya. mapenzi yapo na hayaishi. kwa staili hiyo tutaendelea kuwaonea huruma tu na 'hamtatoka'

You must be kidding ..right?
1.Unapojumlisha "wanawake" unafikiria wanawake wote wako feebled-minded?

2.UKIDHALILISHA WANAWAKE - UJUE HUJABAKIZA WALE WALIO WAKWAKO KAMA MAMA, DADA, BINTI KAMA UNAYE NA WENGINE UNAOWAPENDA!!

3.MTAENDELEA KUTUONEA HURUMA - THIS IS THE FUNNIEST PART OF IT!

4.WAKO MAMIA KWA MAELFU KWA MAMILIONI YA WANAWAKE WANAOWEZA KUKUPELEKA HARIJOJO NA ISSUES HADI UKAJISHANGAA! SO please reserve some respect to womankind!
 
jamani mambo ya aibu sana hivi huyu dina marious ana elimu gani? maana naangalia blog yake naona kinyaa...... simpigi majungu iangalieni Dina Marios..
 
....tusiende mbali wakuu angalie hata hapa JF hawazidi wanawake wa2 wanaochangia mambo serious.....wengi kaangalieni kwenye jukwaa la mapenzi...ndio maana nawaambiaga wana maneno ya saluni wananiona hamnazooo...

hehehe mkuu shemeji akikusikia leo unanyimwa nakwambia...shauri yako.
 
jamani mambo ya aibu sana hivi huyu dina marious ana elimu gani? maana naangalia blog yake naona kinyaa...... simpigi majungu iangalieni Dina Marios..

Kapiga six pale Mkwawa kisha akaenda kakozi kautangazaji ndo hivyo anakula bata sasa kwenye Leo tena.....maisha ya Bongo simple tu ukiwa na wasafisha njia.
 
4.WAKO MAMIA KWA MAELFU KWA MAMILIONI YA WANAWAKE WANAOWEZA KUKUPELEKA HARIJOJO NA ISSUES HADI UKAJISHANGAA! SO please reserve some respect to womankind!
Bibie tunaongelea blog zenu......kama unazijua blog za kinadada wa kitz nitajie blog 3 zinaongezlea mambo serious......zaidi ya kuonyesha leo Kim kardashian kavaa bikini gani au kuongelea mambo ya saluni.......

hata hapa ladies utawakuta kwenye mapenzi wamerundikana naongopa?
 
You must be kidding ..right?
1.Unapojumlisha "wanawake" unafikiria wanawake wote wako feebled-minded?

2.UKIDHALILISHA WANAWAKE - UJUE HUJABAKIZA WALE WALIO WAKWAKO KAMA MAMA, DADA, BINTI KAMA UNAYE NA WENGINE UNAOWAPENDA!!

3.MTAENDELEA KUTUONEA HURUMA - THIS IS THE FUNNIEST PART OF IT!

4.WAKO MAMIA KWA MAELFU KWA MAMILIONI YA WANAWAKE WANAOWEZA KUKUPELEKA HARIJOJO NA ISSUES HADI UKAJISHANGAA! SO please reserve some respect to womankind!

true my sister. u r amongst the brave & respected. sasa hao wengi wanawatibulia
 
Na swali linabakia je nyie mnatafuta nini kwenye hizo blog kama mnaona mnachefuka?Hiyo inaashiria kuwa na nyie mnafurahia na usikute wengine wanatumia hizo nyia kufanyia punyeto.
 
hehehe mkuu shemeji akikusikia leo unanyimwa nakwambia...shauri yako.
haa wapi mkuu,mie wananijua kama atakuwepo hapa atakuwa keshanijua the real yo yo kumbe ndio fulani........kwanza ukweli huwa sipendi kukaa na shori ambae hanipi changamoto za kimaisha hata tukiwa bar.....

....kuna shori mmoja mkali ila tulishindwana nikampa vitabu vitatu avisome avimalize kisha aje tuongee .....alikuwa pumba nyingi.....
 
Kapiga six pale Mkwawa kisha akaenda kakozi kautangazaji ndo hivyo anakula bata sasa kwenye Leo tena.....maisha ya Bongo simple tu ukiwa na wasafisha njia.
mkuu si uamsikiaga kwenye leo tena..............alafu wanapelekeshwa na wakian kijo bisimba na ananelia nkya eti wagombee haki zao..pyuu gademu kule kwenye siasa nilisema hakuna mwanamama anaweza kuwa raisi tz....hatuna wakina Benazir Bhuto.....tunao wakina RiRi
 
Back
Top Bottom