Blog ya mjengwa yashutumiwa

Status
Not open for further replies.

kanda2

JF-Expert Member
Apr 22, 2007
1,318
72
Blog ya majjid mjengwa imeshutumiwa vikali baada ya kuweka habari ya mkapa akiwa kijijini kwake mtwara.
Habari kamili mnaweza kwenda huko.
mjengwa.blogspot,com
 
Last edited:
Blog ya majjid mjengwa imeshutumiwa vikali baada ya kuweka habari ya mkapa akiwa kijijini kwake mtwara.
Habari kamili mnaweza kwenda huko.
mjengwa.blogspot,com

Kanda2.

Ngudu zangu wakati mwingine tunahitaji utani, tucheke na kutafakari. Kisa hiki ni cha kubuni.
......Mzee wetu(Mkapa) alikuwa na staili yake y kujibu na kutojibu maswali...

Waosha vinywa wengi hawapendi kusoma vizuri, tahadhali ilishawekwa kuwa ni kisa cha kubuni, hivyo sioni sababu ya kumshitumu huyo Mjengwa.

Kwa mfano ingekuwa ni hapa JF, bandiko hilo lingekuwa kule Jokes/utani

Kwa mapana na marefu ya utani huu cheki hapa
 
Wameiondoa,

Mara nyingine ni muhimu kuikwapua na kuiweka hapa for the records.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom