blog ya Mheshimiwa Mo Dewji

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Regardless of how you think of CCM lakini hawa waheshimiwa wabunge kuwa na blogs nadhani ni wazo zuri sasa kilichobaki wasibanie sehemu za kutoa comments

Zinatupatia clear picture on how they think hawa wabunge wetu sasa nasubiri kwa hamu kusoma blog ya Mheshimiwa Halima James Mdee aka Halima James wa CHADEMA kwani wataalam wa mambo ya wabunge wanasema ana potential kubwa sana kisiasa



blog ya dewji hii hapa:

http://www.mohammeddewji.com/blog/

na naona si mbaya kwani kuna picha ya Richa mle...japo si picha ambazo i was looking forward to..bila kusahau keshamline up January for an interview

safi Dewji mwendo mdundo
 
Hivi Januari Makamba anacho cha kumshauri Rais Kikwete? Walahi tumekwisha! Haya yanaweza kutokea Tanania pekee-wajameni!!!
 
If Josh Michael is around, then be sure that Game theory is not around and vice versa!!!

Lovely JF
 
Its clarified sufficiently!!!
got it!
GT=JM(working parameters point of view),it's like a professional football player and his substitute!ITS' LIKE VAN PERSIE and EDUADO DA SILVER
 
Back
Top Bottom