Blog nyingi za wabongo....UBUNIFU NI SIFURI

Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,097
1,363
Baada ya masiku kadhaa kufanya utafiti wa blog za wabongo nimegundua wengi wao wamejiingiza huko kuganga njaa maana ubunifu ni zero habari na picha wanacopy na kupaste na zote zinafanana ..nafikiri wanaganga njaa kupitia vitangazo uchwara kwa pesa mbuzi....ukiangalia michuzi picha zake na habari,hizo hizo utazikuta kwa michuzi jr, hizo hizo utazikuta kwa le mutuz ,hizo hizo utazikuta kwa mjengwa, hizo hizo utazikuta viblog vyote vya bongo..yaani ni wastage ot time and space..wanaboa mno..nawakilisha!!
 
tusiwaponde sana, tuwakosoe ili wajirekebishe waboreshe zaidi. tunahitaji watu wajiajiri wenyewe wapate japo hivyo vi-pesa mbuzi wagange njaa. LI-NCHI LENYEWE HILI SI UNAONA WANAONUFAIKA NI MAFISADI TU NA NDUGU ZAO!!!!?????
Hawa watanzania wenzetu walioamua kujiajiri wenyewe kwa njia hii tuwatie moyo, am sure watabadilika in the long run.
 
Mwanangu una hoja tena nzito. Tatizo la Tanzania ni watu kupenda dezo au kuigiza karibu kila kitu. Hata ukiangalia wana sanaa wetu nao kadhalika. Ni uchuro na kero kusema ukweli. Mie binafsi naona mablog ya picha kama ujinga na uzembe wa kuandika. Ajabu watu kama Michuzi ndiyo wanapewa matangazo hasa toka serikali kutokana na yeye kuwa mtu wao ambaye elimu na taaluma vinagomba. Heri umeliona hilo ingawa si wote.
 
Mfano mdogo tuu hebu pitia blog zote za kibongo leo utakuta habari za rais Kikwete akiwa Ghana..hilo sio tatizo kwa sababu ni mkuu wa nchi lazima habari zake ziwepo but tatizo ni kwamba picha na habari zake blog zote zimecopy na kupaste neno kwa neno ..what a waste???Afadhali angetokea hata mmoja akajaribu basi kutoa kivyake ..yaani picha na maneno ni yaleyale...kwa kweli haipendezi..hata habari zingine ni hivyo hivyo wanacopy na kupaste then wanatundika kwenye blog zao!!!
 
Tatizo hii fany imeingiriwa na watu ambao hata hawajui mambo ya kuchapa code za html pamoja na css kwa hiyo ndo maana hata blog hizo muonekano wao si mzuri lkn twapaswa kuwakosoa wapi wanakosea maana technologia ndo tunaipokea.
 
Nadhani blogger inalemaza na kufuga watu wasio na ujuzi wa html. Hii ni kutufanya kuendelea kuwa bongo lala. Ila kuna hii org nimeipenda Home - Blogtz wanatoa hosting +script autoinstaller + FTP access, so ni tofauti na blogger. Ni muda wa kufungua mawazo yetu
 
Tatizo hii fany imeingiriwa na watu ambao hata hawajui mambo ya kuchapa code za html pamoja na css kwa hiyo ndo maana hata blog hizo muonekano wao si mzuri lkn twapaswa kuwakosoa wapi wanakosea maana technologia ndo tunaipokea.

Kujua au kutojua code si tatizo kijana we watu hawajui code hata kidogo na wanadevelop application kibao na zinafanya vizur kwenye market.
Huko tunapokwenda ndo kabisaa elimu yako yakucode haitakusaidia.

Jamaa anaongelea creativity blog za bongo wanacopy magazeti badala ya internet iwe source kwa magazeti wao wanakua nyuma unasoma kitu magazetin halaf ndo wakikuta kwenye blog.

Ishu hapa ni idea why watu wanaigiana idea. Why idea zinafanana na sio nani anajua kucode
 
kwanza michuzi inanikera sana yani habari za ccm basi bora iitwe blog ya ccm tujue
 
Baada ya masiku kadhaa kufanya utafiti wa blog za wabongo nimegundua wengi wao wamejiingiza huko kuganga njaa maana ubunifu ni zero habari na picha wanacopy na kupaste na zote zinafanana ..nafikiri wanaganga njaa kupitia vitangazo uchwara kwa pesa mbuzi....ukiangalia michuzi picha zake na habari,hizo hizo utazikuta kwa michuzi jr, hizo hizo utazikuta kwa le mutuz ,hizo hizo utazikuta kwa mjengwa, hizo hizo utazikuta viblog vyote vya bongo..yaani ni wastage ot time and space..wanaboa mno..nawakilisha!!

umesema "blogu nyingi" ila hujataja hizo "blogu chache" ambazo ziko tofauti. matokeo yake zote zinakuwa kwenye kapu moja! je, hizi hapa chini nazo ni sehemu ya hizo "blogu nyingi" ulizozitafiti?

wavuti - wavuti

UDADISI: Rethinking in Action

Zitto na Demokrasia

Vijana FM

Swahili Time
 
Kujua au kutojua code si tatizo kijana we watu hawajui code hata kidogo na wanadevelop application kibao na zinafanya vizur kwenye market.
Huko tunapokwenda ndo kabisaa elimu yako yakucode haitakusaidia.

Jamaa anaongelea creativity blog za bongo wanacopy magazeti badala ya internet iwe source kwa magazeti wao wanakua nyuma unasoma kitu magazetin halaf ndo wakikuta kwenye blog.

Ishu hapa ni idea why watu wanaigiana idea. Why idea zinafanana na sio nani anajua kucode

Afadhali umemwelewesha, bado ana-code karne hii!, ukijifunza kutengeneza web au blog kwa code unaweza kuhitaji maisha yako yote kubaki chuoni. Swala ni ubunifu na si code.
 
umesema "blogu nyingi" ila hujataja hizo "blogu chache" ambazo ziko tofauti. matokeo yake zote zinakuwa kwenye kapu moja! je, hizi hapa chini nazo ni sehemu ya hizo "blogu nyingi" ulizozitafiti?

wavuti - wavuti

UDADISI: Rethinking in Action

Zitto na Demokrasia

Vijana FM

Swahili Time

Kama ulinielewa vizuri nilikuwa nina maana majority ya blog za wabongo na sio zote zina lack creativity..wanashare habari as if bongo hakuna habari zingine...sie tulioko nje ya nchi tunazitegemea sana kwa habari za home but ukizizungukia mbili tatu, zote ni habari hizo hizo...i mean ubunifu ni zero.. frankly speaking.
 
Vipi kuhusu hii MUSTAKABALI WETU Naomba maoni yenu ili kujenga MUSTAKABALI WETU. Tanzania itajengwa na Watanzania.

Blog yako nimeipenda sana coz haina mipicha mingi kama hizo zingine....rangi uliotumia kidogo haina mvuto...ushauri wangu wa bure jaribu kutumia rangi yyt lakini iwe a bit light....kwa mfano sky blue,pink au light yyt ili maandishi yasomeke kiurahisi ...
 
Baada ya masiku kadhaa kufanya utafiti wa blog za wabongo nimegundua wengi wao wamejiingiza huko kuganga njaa maana ubunifu ni zero habari na picha wanacopy na kupaste na zote zinafanana ..nafikiri wanaganga njaa kupitia vitangazo uchwara kwa pesa mbuzi....ukiangalia michuzi picha zake na habari,hizo hizo utazikuta kwa michuzi jr, hizo hizo utazikuta kwa le mutuz ,hizo hizo utazikuta kwa mjengwa, hizo hizo utazikuta viblog vyote vya bongo..yaani ni wastage ot time and space..wanaboa mno..nawakilisha!!

hebu jaribu hii http://www.bugangoborder.blogspot.com
 
MAUZA UZA UNALOSEME NI KWELI KABISA. ILA NAFIKILI NI UVIVU WA WAMILIKI WA BLOG HIZO. BT HEBU CHEKI HII NIKIWA NAMAANA STORY HIYO HIYO YA RAIS ILA IMENDIKWA KWA MTINDO MWINGINE KABISA.
[h=1]KIKWETE ATIMIZA SAFARI YA 333 NCHINI GHANA KWA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MILLS[/h]http://media2solution.wordpress.com/2012/08/11/kikwete-atimiza-safari-ya-333-nchini-ghana-kwa-kutoa-heshima-za-mwisho-kwa-mills/#comment-456
 
Back
Top Bottom