Blog mpya nzuri sana sana ya mambo ya harusi kwa wadada imefunguliwa

jipange, very low resolution kwa images zako, layout super cheap....
 
jipange, very low resolution kwa images zako, layout super cheap....

mdau mimi sio mwenye blog, ila mawazo yako ungecomment kulekule ndo yangemfikia mlengwa. ila thanks for showing some love na kuvisit the blog.
 
mbona ni ya wazungu tu.Alafu inaitwa
[h=1]Tanzania Stylers[/h]
MMMMMMH HAPO KAZI IPO
 
Naipa 4/10
Kwanini?
1. Ukiifungua hiyo blog, haina utangulizi wowote kuonyesha kuwa blog inahusika na nini hasa.
2. Picha zilizotumika zina very low resolution.
3. Sijaona original content ukiachilia texts, picha zote zinaonekana ni copied from other websites na baadhi ya picha zina copyright signatures. Hii ni mbaya kwakuwa, kama hauna permission ya kupublish hizo picha, wenye copyright ya hizo picha wakireport, then blogger wataifunga blog yako right away for copyright infringement.
4. Theme iliyotumika haivutii, kuna blogger theme nyingi online unaweza ku download na ku customize hiyo blog ikavutia.
5. Customization/Additional content: Siku hizi ni muhimu sana kuadd vitu kama social networking widgets (e.g. share on twitter/facebook...) pia favicon, rss feed n.k
6. A blog is a personal journal published on the internet. Sasa sioni ni kwanini mmiliki wa Blog anajificha. Ni vizuri kukawa na maelezo ya mmiliki wa blog na contact zake.

Ni hayo tu!
:coffee:
 
Mbona wazungu tu, hii itakuwa copy and paste

Haya kama umeona hivyo, mimi mwenzio nilifurahia coz wazungu kwenye mambo ya sherehe kimapambo, design za nguo na kila kitu wako mbali kinoma. So bora awe anatutaftia ulaya huko na kutuwekea ili tugain, coz akiweka vya hapa hapa ni yeboyebo na hakuna jipya, bora alete idea kutoka huko majuu hata kama copy and paste mie nilikuwa sizijui ati. Japo kweli picha inabidi abadilishe ziongezeke kiwango, ila mie ile post ya mapozi ya picha ziku za harusi niliipenda na imetufaa sana harusi ya shosti wetu. Twende kote turudi wazungu wako juu sana na vitu vingi sie wabongo ni copy and paste. Bora atucopie ideas nyingi za huko na kuziweka pamoja sie tunyonye kiulaini
 
Marketer, yaonekana ni wewe au shosti yako ndo ana hiyo site ndo mana unatetea pumba. Kubali unapokosolewa, nobody hates you here, Fredrick Ishengoma hapo juu kaanisha vizuri sana (I think he's a professional in the field) matatizo ya hiyo blog, sasa ukubali ushauri na uufanyie kazi kama unataka matokeo mazuri na blog yenu.

"dont hate the player hate the game"?? To me, I think you are a kind of person who don't like to be challenged. Badilika.
 
Last edited by a moderator:
Naipa 4/10
Kwanini?
1. Ukiifungua hiyo blog, haina utangulizi wowote kuonyesha kuwa blog inahusika na nini hasa.
2. Picha zilizotumika zina very low resolution.
3. Sijaona original content ukiachilia texts, picha zote zinaonekana ni copied from other websites na baadhi ya picha zina copyright signatures. Hii ni mbaya kwakuwa, kama hauna permission ya kupublish hizo picha, wenye copyright ya hizo picha wakireport, then blogger wataifunga blog yako right away for copyright infringement.
4. Theme iliyotumika haivutii, kuna blogger theme nyingi online unaweza ku download na ku customize hiyo blog ikavutia.
5. Customization/Additional content: Siku hizi ni muhimu sana kuadd vitu kama social networking widgets (e.g. share on twitter/facebook...) pia favicon, rss feed n.k
6. A blog is a personal journal published on the internet. Sasa sioni ni kwanini mmiliki wa Blog anajificha. Ni vizuri kukawa na maelezo ya mmiliki wa blog na contact zake.

Ni hayo tu!
:coffee:

1. Utangulizi kweli hamna, ila sio sababu kubwa coz, nilivoona post chache inaelekea hajaanza mda so atawekaga tu huko na hata asipoweka ni style yake sio kanuni lazima mtu aweke.

2. Picha na kuunga mkono ni mbaya na mie nilicoment kule maybe atalifanyia kazi.

3.Original content sio lazima wala nini, coz mi nilivojionea kama anataka kutuletea mawazo ya sherehe za ulaya huko ili tujiboreshe, sasa kama maudhui yake ni hayo original content yake ni kuresearch na kutuwekea sie wavivu kitu kamili of which mimi ndo nilichomkubali. Kaja na style yake ya kutoa maujuzi ulaya sio kugezageza na kufata kanuni za blog za kina nahiiii ambao wanaweka sherehe za uswazi daily hamna jipya. Nampa big up sana coz hamna mtu anaeturesearchia midude na kutuwekea. Kama unapenda harusi za kiswazi zenye original bongo blog zipo, kama neo colonialist kama mimi ndo siachi kuchungulia. Na kuhusu copyright hajasema kazi zake wala hajafuta copyright yeye ameziweka na amewacredit wenye kazi, kaweka ili tuone tujiburudishe

Theme huwezi kuweka theme inayompendeza kila mtu, mi sijaona ubaya wala ile theme, simple and clear.

5. mmiliki hajajificha sema mi nimeona bado mgeni so mwanzo mgumu hivo kidogokidogo ataweka

Mwisho umenisikitisha sana mambo 5 yote unaponda tu, kwanini wabongo tupo hivo? Mimi mwenye blog simjui ila nimeona anataka kuleta kitu hakipo so nikaona nimpe promo na support. Things get better in time. Rome wasnt built in one day mkimkatisha tamaa huenda akaacha. Look for postive things mpe mtu moyo huku ukimkosoa ili tulisongeshe. SHOW SOME LOVE GUYS!
 
Marketer, yaonekana ni wewe au shosti yako ndo ana hiyo site ndo mana unatetea pumba. Kubali unapokosolewa, nobody hates you here, Fredrick Ishengoma hapo juu kaanisha vizuri sana (I think he's a professional in the field) matatizo ya hiyo blog, sasa ukubali ushauri na uufanyie kazi kama unataka matokeo mazuri na blog yenu.

"dont hate the player hate the game"?? To me, I think you are a kind of person who don't like to be challenged. Badilika.

Ndo umeona unichallange mkuu! Wala sio kwamba sipendi challange ila too much negativity sio poa wanafanya character assassination mkuu, sasa usipowapooza inakuwa sio poa. Mtu kaanzisha kitu tumpe moyo huku tunakosoa ndo mpango mzima.
 
Marketer nakuheshimugi sana.. Lakini naomba usitufanye watoto.. I can tell from ur 'writting' ur the owner of the blog.. No one else! U want to publicz it here as W.J Malecela.. If that's the case, follow hs way.. Disclose urself to grab our attention.. Othrwyz u just do a nasty thng!

Usiwaponde wanaokupata negativity, muige Malecela!
 
Marketer, yaonekana ni wewe au shosti yako ndo ana hiyo site ndo mana unatetea pumba. Kubali unapokosolewa, nobody hates you here, Fredrick Ishengoma hapo juu kaanisha vizuri sana (I think he's a professional in the field) matatizo ya hiyo blog, sasa ukubali ushauri na uufanyie kazi kama unataka matokeo mazuri na blog yenu.

"dont hate the player hate the game"?? To me, I think you are a kind of person who don't like to be challenged. Badilika.

Mie wala sio shosti yangu, ila nimependa maudhui na nimechoshwa na blog za hapa bongo kwa kuigana. sijakataa challange zake, na kule kwa blog kuna comment area sasa akacomment kule. Na yeye amesema mawazo yake na sio sheria. So mengine nimekubaliana nae mengine sijayakubali coz yanataka kuistandardize hiyo blog iwe kama zingine wakati mimi nataka aendeelee kuwa unique na kutuletea mambo ya ulaya tugain sio kupiga miayo
 
Marketer nakuheshimugi sana.. Lakini naomba usitufanye watoto.. I can tell from ur 'writting' ur the owner of the blog.. No one else! U want to publicz it here as W.J Malecela.. If that's the case, follow hs way.. Disclose urself to grab our attention.. Othrwyz u just do a nasty thng!

Usiwaponde wanaokupata negativity, muige Malecela!

Mimi sio owner mkuu, ila kiranga tu cha kujifanya marketer ndo kinataka kunitokea puani. Mimi nilitaka kushow some love na kutoa support ya kimarketing sasa wadau wanataka kufanya brand assassination hivo profession inakuwa matatani, afu kitu cha mtu sijui kafikaje hapo. Ingekuwa yangu mbona simple ningebulshit tu, nikafungua blog ingine la ze udaku baaaaaaaaaaasi kwani deni? Sipondi negativity ila najaribu kuangalia negativity yao in a positive way
 
Back
Top Bottom