bleed....ni kweli?

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
kuna uwezekano wa binti kutokuziona siku zake(bleed) na asiwe anamimba? na sababu yaweza ikawa ni nini? wenye utalaam na mambo haya mnisaidie.
 
kuna uwezekano wa binti kutokuziona siku zake(bread) na asiwe anamimba? na sababu yaweza ikawa ni nini? wenye utalaam na mambo haya mnisaidie.

Hormone disturbance ndio inayochangia mabint wasiwe wanableed kikawaida(normal),maybe madawa ya kuzuuia mimba wanayokunywa au choma etc
 
Mkuu majogajo BREAD ni mkate km super loaf,azam,super temeke nk. Kuna uwezekano usipate michango toka kwa wadau kwa kutoelewa ulichoandika.NADHANI ulikusudia kuongelea "bleed" km ndivyo bac sahihisha kwa faida ya wengi.
 
Back
Top Bottom