KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Hivi kwa kina dada inakuwaje unakuwa mzuri wakila kitu lakini unajisahau kwenye blasia??wengi nawaona!!wengini kwenye usafiri wetu huu wa daladal una kuta demu kapimp viwalo lakini wakati ameshika bomba la daladala chungulia kwapa sindria imechafukaaa!!!Unajiuliza huyu na uzuri wote kweli au hata likufuli waweza kuta yalah!
Katika pitpita nimekumbana nayo sana hii!!nasijui nikwa nini??Akina dada watatwambia maana humu JF tunao ma intelligent watajibu kama hawataingia mitini!
Katika pitpita nimekumbana nayo sana hii!!nasijui nikwa nini??Akina dada watatwambia maana humu JF tunao ma intelligent watajibu kama hawataingia mitini!