kichakorojack
Member
- Sep 19, 2011
- 78
- 12
Huyu mama has to go. Kwanza kila kona ana maadui. Ushauri wa bure kwake hela alizochota zinamtosha ajiuzuru hata kama asiposhtakiwa. Wizara ya maliasili anachukiwa, hazina,afya ndiyo kabisaaaa especially MNH. Ana maadau lukuki. Atauliwa huyu mama asipoangalia ooohooo shauri yake asicheze na ajira pamoja na professional za watu loh!