blackbery torch for sale

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Simu tajwa hapo juu yauzwa Bei 350,000 cash, Haipungui hata mia wadau
 
Watu huwa hawauzi vitu hivyo,ungekuwa huna shida usingeweka tangazo jaribu kutumia lugha nzuri.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
we ustake nikurembee sana kama unahitaji zungumza... lugha nzuri lugha nzuri kwan umetukanwa
 
Sina shida yoyote, Nimeamua kuuza simu coz m tired of it
 
Kama umeichoka si ugawe? Ligha uliyotumia Ni mbaya, ungekuwa umeichoka ungeiuza bei hiyo? kaka shida zinakusimbua, funguka acha kaburi.

we ustake nikurembee sana kama unahitaji zungumza... lugha nzuri lugha nzuri kwan umetukanwa
 
Kama umeichoka si ugawe? Ligha uliyotumia Ni mbaya, ungekuwa umeichoka ungeiuza bei hiyo? kaka shida zinakusimbua, funguka acha kaburi.

hiyo bei mbona sio ghali sana ukilinganisha na thamani ya simu husika, sio kila anayeuza kitu anashida we mpuu.zi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom