Blackbery 8520

Kalila

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
245
58
Naomba msaada nina blackbery curve 8520 nawasha inasema enter network MEP code(0 left) naomba kupata solution ya hii problem
 
Hiyo simu iko network locked so tafuta njia ya kuiunlock. Google au nenda forums.crackberry.com/blackberry-unlocking-f157/
 
Hiyo simu iko network locked so tafuta njia ya kuiunlock. Google au nenda forums.crackberry.com/blackberry-unlocking-f157/

mdau hii inatokeaje hadi inajilock maana kuna m2 anataka kuniuzia hi simu
 
Network providers wanauzaga simu kwa punguzo lakini inakuwa locked katika network yao, pia simu za mkatabu nchi za nje mara nyingi zinakuwa locked, haiwezi kutumika mtandao mwingine.
 
no way u can unlock that phone in Tanzania, just use it for as Ipod and camera Ukishindwa kabisa dont harm your gadget check hapa .::Kariakoo::. au piga simu 0715353108
 
Kwani ile CD yake haukuuziwa nayo ? Mimi nnayo CD yake Black Berry lakini nipo Tanga
 
Kwani ile CD yake haukuuziwa nayo ? Mimi nnayo CD yake Black Berry lakini nipo Tanga

poa kama unayo cd na unaweza kutusaidia wengine ambao hatuna we toa copy ntalipia nitumie nie nipo dar nina cm hiyo ila nilinunua mkononi nairobi sasa huwezi uliza cd wala cable naomba copy.nipe gharama zake nikupe kwa m/tigo pesa niachie sms kwa namba hii 0766008080 nitakupigia.
 
Naomba msaada nina blackbery curve 8520 nawasha inasema enter network MEP code(0 left) naomba kupata solution ya hii problem

Mkuu kwanza nikupe pole, ni kwamba huwezi ku-unlock hiyo BB yako kwani iko kwenye "HARD-LOCKED Phone: MEP Code (0 Left)" ina maana umetumia zile nafasi 10 za kuingiza MEP code(ukaingiza wrong code ) na ndio maana imebaki 0 ikimaanisha huna tena nafasi ya ku-unlock simu yako tena kwa njia ya kuingiza MEP code....

Na kwa hapa TZ na sehemu nyinginezo hamna mwenye uwezo wa ku-unlock hii BB yako Labda uwarudishie RIM.
 
Back
Top Bottom