blackberry

Jaaribu kwenda kwenye option-advanced options-host routing table
kisha angalia kwenye list ya network hapo yakwanza ndo unayoitumia then click menu tab halafu nenda register now...kisha subiri msg iingie ikichelewa sana 2 minutes..halafu toa betri ikiwa on baada ya kama 30 sec irudishe najaribu ku-connect.
 
BlackBerry asilani haifunguki kwa shilingi 450/=
BlackBerry (original) haihusiani na mitandao ya makampuni mengine yoyote yanayorusha Internet kwani na wao wana mitambo inayorusha Internet km vile Explore, Mozilla nk
Unachotakiwa sasa ni kuweka Bundle ya sh 7000/= kwa Vodacom, Tigo, Airtel na wengine km wamejiunga na hiyo BB sasa wao watakupa huduma hiyo ya wiki moja tu na baada ya hapo inakwisha unajaza tena, siku ingine unajaza hadi 30,000/= kwa mwezi
Ni Asilani hawaruhusu kutumia simu zao kwa Internet labda BB fake
ni simu yenye kasi na utadown load kitu chochote na kwa kasi ya ajabu
Nakushauri utafute USBcable yao ya kuunganisha kwenye Computer jaribu kutembelea Sapna Samora DSM, bei ni kuanzia 50,000/ vifaa hivi vipo pia kariakoo kwenye maduka ya simu za mikononi ila ni Mchina lakini ni fake hasa labda cover/Housing
Ndugu yangu BB (origional) ni gharama sana ndio maana zinagonga 900,000/= kuendelea
 
Ckia kaka.. Kama tayari ulisha lipia ile ya mwezi ama wiki ikaisha... Nenda kwene optins za brwsr then click browser configuration afu change Browser iwe Wap (utakuta internet) then save changes na utoke hapo. Kisha ingia general
propaties uchange to wap pia kama hatakuwa imejichange auto.
Ukiwa unaingia net upitie wap brwsr.. Ikikubali ufunguke hapa
 
Nisaidien blackberry9300 inakataa kufungua internet ya bundle ya kawaida ya 450/=

Pole sana Ndugu,nachojua RIM na hawa ma Provider, service ya BB inajitegema..sasa inategemea na BIS ya Service provider wako kama airtel 5000/week, zantel 20 ,na tiGO 17500..Jaribu izo Service..... lakini izi kama iphone au Htc na Nokia Bundle tofauti na BB.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom