mkuu option ya kwanza imeshindikana. Still i'm getting connection failed messege. Hii ya pili ya ku

install opera ndio kasheshe, nitawezaje ku download wakati haina internet?

Fanya ivi....tuma sentensi hii kama ilivyo....."Wap nokia 6300" tuma kwenda

Voda-15300

Tigo-500

Airtel-232

Kwa upande wangu huwa natumiaga sana njia hii ya kufake model ya sim na huwa wanantumia configurations..na nina zinstall kama kawaida.so jaribu njia iyo
Mojoki mie natafuta nokia e63 ya kununua kama unazo, bei gani unauza? nahitaji nipe maelezo kama unayo pliz, asante.:whoo:we jamaa mtata kama yahoo messenger inapatikana inaamana inakamata internet or what do you mean?
Well kwanza nikufahamishe hakunaga blackberry ya kichina hiyo ni chinese mobile
umenihuzunisha sana kugawa original phone nokia e5 ukaenda kununua mchina (poor product) bora hata ungenunua simu ya tochi
jinsi ya kuunganisha internet manually kwa airtel nitumie namba yako ya airtel (ili iwe connected) na email adress yako kama hutojali then nitakutumia maelezo yatakayokuongoza kufanya manual configuration.
Ushauri:hiyo simu uza mzee coz hata baaada ya kuinga na internet dk chache tu inapata moto kishenzi...yaan haina mzuka,ukishauza hiyo nitafute nikuuzie nokia e 63 kwa bei poa tu then you will feel the difference bro!
Asante kwa kuonesha unajari. hata hivyo nilishafanikiwa kufanya manual configuration ya vodacom (u can get it from their website) inadunda mzigo poa ingawa lengo langu ilikuwa nitumie kwa airtel network. ushauri kwako. Kizuri kula na nduguyo. Usiwe mchoyo. Ndugu yako akikipenda kitu chako (except mkeo/mumeo) mpatie, siku moja atakuja kukusaidia mahali usipotarajia. simu you can buy it anytime so long u have money, but upendo kwa nduguyo unatakiwa kumuonesha pale anapouhitaji. Ni mtazamo wangu tuwe jamaa mtata kama yahoo messenger inapatikana inaamana inakamata internet or what do you mean?

Well kwanza nikufahamishe hakunaga blackberry ya kichina hiyo ni chinese mobile

umenihuzunisha sana kugawa original phone nokia e5 ukaenda kununua mchina (poor product) bora hata ungenunua simu ya tochi

jinsi ya kuunganisha internet manually kwa airtel nitumie namba yako ya airtel (ili iwe connected) na email adress yako kama hutojali then nitakutumia maelezo yatakayokuongoza kufanya manual configuration.

Ushauri:hiyo simu uza mzee coz hata baaada ya kuinga na internet dk chache tu inapata moto kishenzi...yaan haina mzuka,ukishauza hiyo nitafute nikuuzie nokia e 63 kwa bei poa tu then you will feel the difference bro!

Fanya ivi....tuma sentensi hii kama ilivyo....."Wap nokia 6300" tuma kwenda

Voda-15300

Tigo-500

Airtel-232

Kwa upande wangu huwa natumiaga sana njia hii ya kufake model ya sim na huwa wanantumia configurations..na nina zinstall kama kawaida.so jaribu njia iyo
Hakuna simu ya Blackberry Q3 so sina uhakika umenunua nini.
Ila kama umeipata sehemu ya kuingiza settings na ukafanikiwa kuziingiza umesema Yahoo inafanya kazi, maana yake simu inapata mtandao. Unaposema internet haifanyi kazi unamaanisha nini? unapata error? error ipi?
[h=2]Ports Yahoo! Messenger uses![/h]Yahoo! Messenger services uses a variety of ports.
Service Ports Chat & Messenger TCP Port 5050: Client Access only Insider/Room Lists TCP Port 80: Client Access only File Transfer TCP Port 80: Server Access.
Your ISP may block this port, as its used for web hosting.
You can change port in Messenger, Preferences, File Transfer.Voice Chat UDP 5000-5010
TCP 5000-5001: Client Access
If UDP Fails, TCP will be used instead, see below.WebCam TCP Port 5100: Client Access Super Webcam TCP Port 5100: Server Access P2P Instant Messages TCP Port 5101: Server Access
PMs between Buddys may not use the Yahoo! Server, but this is not a requirement.