Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry torch inauzwa !

Discussion in 'Matangazo madogo' started by altaaf, Oct 1, 2011.

  1. a

    altaaf Senior Member

    #1
    Oct 1, 2011
    Joined: Sep 15, 2009
    Messages: 161
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 35
    Heshima kwa wote wanajamii !

    Blackberry torch inauzwa ikiwa mpya kabisa na ni original ikiwa na 4gb memory card pia screen ikiwa protected , simu kutoka uk network ya asili ni orange bei ni laki 5 pia kuna na sony ericsson satio ambayo inauzwa laki 3 network ya asili ni t-mobile simu zote zimefunguliwa so unaweza kutumia mtandao upendao. Jumatatu panapo majaaliwa simu zitakuwa dar nimepata safari mara moja kwa wanao hitaji wasiliana kwa kupitia no hii 0713258615 ama tunaweza kuasiliana kwa kupitia hapa jamii.

    Natanguliza shukrani !
     
  2. Shark

    Shark JF-Expert Member

    #2
    Oct 1, 2011
    Joined: Jan 25, 2010
    Messages: 15,364
    Likes Received: 1,587
    Trophy Points: 280
    Used au Mpya??!!
     
  3. Nassir93'

    Nassir93' JF-Expert Member

    #3
    Oct 1, 2011
    Joined: Jul 14, 2011
    Messages: 231
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 35
    ni pm bei yake mkuu
     
  4. elank54

    elank54 JF-Expert Member

    #4
    Oct 1, 2011
    Joined: Aug 23, 2011
    Messages: 484
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    pm me 4 biznes, i nid satio
     
  5. Shakazulu

    Shakazulu JF-Expert Member

    #5
    Oct 2, 2011
    Joined: Feb 23, 2007
    Messages: 939
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 35


    Hivi wakuu huwa mnasoma bandiko kabla ya kuuliza hayo maswali yenu? Mbona majibu yote yapo kwenye bandiko la mwanzo?
     
  6. King'asti

    King'asti JF-Expert Member

    #6
    Oct 2, 2011
    Joined: Nov 26, 2009
    Messages: 27,016
    Likes Received: 1,178
    Trophy Points: 280
    kaka ww mshukuru mungu tu uache hizi! manake walimu huko primary tulikopita walikua na kazi ya ziada!
     
  7. ndetichia

    ndetichia JF-Expert Member

    #7
    Oct 2, 2011
    Joined: Mar 18, 2011
    Messages: 27,533
    Likes Received: 117
    Trophy Points: 160
    kudos shakazulu sio tu hawa mwingine unampa form aisome halafu anakuuliza hii ni nini..
    na kuambia wanaboa kama nini..
     
  8. OTIS

    OTIS JF-Expert Member

    #8
    Oct 2, 2011
    Joined: Sep 7, 2011
    Messages: 2,150
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 0

    Walimu walistahili kupewa mshahara mkubwa kuliko hawa viongozi kwa kazi nzuri waifanyayo.
    OTIS.
     
Loading...