Nina Blackberry tour brand new ziko 3 kama mtu yuko intrested.
Model gani ? na unauzaje? jibu haraka tuwasiliane nw!
blackberry tour 9630,$400
Mkuu,fanya kwa TSH nikutafute tufanye biashara kesho.
laki sita mkuu.
Ngoja na mimi niwahi buy one get one free nirushe waliolala :bounce: