BlackBerry password

andycachy

Member
Mar 31, 2010
83
18
wanajamii nimeweka password jana usiku kwenye blackberry yangu alafu leo najaribu kuingiza inakataa kabisa nimeshafanya 9 atempt out of 10 nifanyeje naombeni msaada wenu
 
Malizia attempt ya mwisho. Simu inajiformat inakuwa kama ulivyoinunua dukani na unapoteza kumbukumbu zako zote!!
 
Mmmmhhh kuna ukweli hapa???/ Hata mimi nataka kujua aisee
Yeah Dena, Ukimaliza attemt zote Blackbery huwa zinajiformat. Unaendelea kuitumia kama mpya. Tatizo utakuwa umepoteza kumbukumbu zako zote. Blackberry huwa hazijilock baada ya attempt zote za password kama ilivyo kwa simu nyingine!
 
Malizia attempt ya mwisho. Simu inajiformat inakuwa kama ulivyoinunua dukani na unapoteza kumbukumbu zako zote!!
kumbukumbu kama zipi mkuu nina data plan ya tigo na contact za bbm zitaondoka zote?
 
Data plan inaweza isiondoke, ila itafuta all contacts, sms na settings. kama una picha na miziki pia, nadhani kwa sababu za kiusalama na privacy. maliza attempts, data plan ikiondoka nenda tigo watakusaidia. na hakuna njia ya ku-retrieve password, so utashindwa kujimwayamwaya na ki-bb chako bureee!
 
Yeah Dena, Ukimaliza attemt zote Blackbery huwa zinajiformat. Unaendelea kuitumia kama mpya. Tatizo utakuwa umepoteza kumbukumbu zako zote. Blackberry huwa hazijilock baada ya attempt zote za password kama ilivyo kwa simu nyingine!

Ooohhh sawa nimekusoma mkubwa
 
mkuu ucwe na wac wac malizia attemp ya mwisho ila hakikisha cm inachaji ya kutosha icje izimia njiani ukimaliza itakwambia uingize new password or itaendelea tu kama kawaida enjoy ur smartphone mkuu
 
Aisee! meku upo? nimekutafuta sana sikupati hadi kwa simu umekuwa upatikani!
 
Back
Top Bottom