mkuu hii inahusiana na tatizo langu?Ninauza battery za blackberry...................nipm
Bizo hii inaweza ndo ikawa tatizo? Maana natumia line ya TigoNinauza battery za blackberry...................nipm
umeinunua na kukuta ina hilo tatizo au kuna kitu umeinstall ndio ikaanza kujizima?Jamaa wadau naomba naeombeni msaada blackberry yangu Bold 9780 mpya nimenunua,ila ina tatizo la kujizima na kujiwasha,mwenye ujuzi anijuze!
Inajizima muda wowote tu haina formula maalumaa,software sijui ila kuna ile niliyonunua nayo simu inaitwa blackberry desktop software ndo nili update nayo.
Pia kuna jamaa aliniingiazia whatsApp bas kuhusu OS sijakuelewa kamanda.
Jaribu kui upgrade kwa kutumia desktop manager(computer yako ikiwa conected na internet) kama tatizo litaendelea ata baada ya kuiupgrade then itakuwa ni hardware problem hapo utaitajika kuipeleka kwa fundi au kama ina warranty rudisha ulipoinunua wakupatie replacement
Jaman pia mim nina blackberry yangu tatizo lake kuna mtu milimwachia akawa anachat kwenye net sasa ikazima yenyewe af now nikiwasha ina load inafka sehem haiendelei kabisa kuna firmware nilidownload ila nikiconnect kwenye PC hai detect kabisa mana haiwaki ikamaliza