Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,333
- 3,896
Naombeni msaada nitaitumiaje simu yanga bb kama modem.Ni curve 8520, na mtandao ni airtel. Nimeongea na customer care ya airtel hawakutoa ushirikiano.
Load programme uliyopewa na BB (iko ktk cd/dvd) katika coputer yako. Ukimaliza tumia USB code kuunganisha pc yako na BB...Log in kwenye pc yako kama kawaida.....Tupe majibu ikikubali! I used it once nilipokwama mashenzini na sina internet connection...Ilifanya kazi kwangu..Try your luck