Blackberry data cable inauzwa wapi hapa Dar?

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Wandugu naweza kupata wapi data cable ya blackberry kwa hapa Tanzania niliyokuwa nayo niliisahau kwenye mgahawa wa internate na niriporudi kuangalia tena ikawa ni hadithi ya zilipendwa,Blackberry yenyewe ni Storm 9500,au kama kuna data cable inayoingiliana na aina hiyo ya simu na pia kama kuna universal cable tafadhali mniambiwe naweza kupata wapi na bei yake ni kiasi gani,
Thx
 
mkuu ebu jaribu kufanya utafiti kama hiyo BB yako inaweza kuingilia na na cable blackberry pearl 8100.ninazo mbili naweza kuuzia moja.

cable yangu ina support simu zifuatazo hapa chini.

Manufacturer: BlackBerry
Works with: BlackBerry 8830, 8820, 8800, 8703e, 8700c, 8700g, 8700r, 7520, 7510, 7290, 7280, 7270, 7250, 7230, 7210, 7130c, 7130e, 7105t, 7100g, 7100i, 7100r, 7100t, 6510, 6280, 6230, 6210, Bold 9000, Curve 8350i, Curve 8330, Curve 8320, Curve 8310, Curve 8300, Pearl 8130, Pearl 8120, Pearl 8110, Pearl 8100
 
Last edited:
Poa basi ndugu,na je unauza tsh ngapi ?my number 0718 062 895 tuwasiliane
 
Mkuu jaribu KVD pia electronics wana vikorokoro vingi vya elektroniki pale.
 
Back
Top Bottom