Blackberry Curve 9300 3G for sale at 250,000/=

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Curve 9300 3G inauzwa kwa Tshs. 250,000/= ni used kutoka UK ila katika condition nzuri kabisa.

Nicheki kwa 0655-003510
 
Nini tofaut kubwa ya bb curve 8520 na hyo yako unayoiuza? Nipe tofaut plz
 
Nini tofaut kubwa ya bb curve 8520 na hyo yako unayoiuza? Nipe tofaut plz
bila samahani boss. Hii inasupport 3G tofaut na 8520 ambayo ina 2G or EDGE. Pia speed ni tofauti mzee. Hata ivo nishauza hii yangu!
 
Nashukuru kwa maelezo yako. Lakin kwa uzoefu wako hapa bongo bb curve 8520 ikiwa mpya inafika bei gan mkuu!
 
Nashukuru kwa maelezo yako. Lakin kwa uzoefu wako hapa bongo bb curve 8520 ikiwa mpya inafika bei gan mkuu!

Curve 8520 ikiwa mpya unapata kwa 270 lakini used asaivi ni mpaka 150 unapata bro.
 
Back
Top Bottom