Mm ninauza hiyo kwa 280,000
kuna mbili hapa wakuu...
Umenikasirisha
Nimeamua kuiuza kwa 250
Mwenye nayo ani pm
Na wewe shusha zako kama hujahama mjini
Mie nauza kubadili handset
mwingine huyu, kazi kuharibu post za wengine??!!
kama wewe ni muuzaji tafuta wakati wako, na wewe weka post yako!