BlackBerry Bold 9700 for sale (SOLD)

Status
Not open for further replies.
Boss kazawadi niliko kutumia ka birthday mara unakauzaaaa!!!! khaaa:hand::hand::hand:
 
Ntakuwa nimechelewa sana kuona topic hii sasa..dah baada ya kupoteza Nokie E72 Nilikuwa naitamani sana Black berry...Sasa hivi naamini utakuwa umesha iuza.
 
Hahaa haa mkuu Max nadhani ya kwako itakuwa imeshaenda hebu nipigie debe na ya kwangu ile BB curve 8520 iende fasta maana nimeichoka,, kuna samsung fulani hapa inanitoa mate....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom