Black women are less prettier and attractive than others! Mmmh!

Duuh! hii kali, ama kweli ubaguzi unapamba moto! vipi wakuu mnakubaliana na hizi findings? maana mimi binafsi nimegoma! the most beautiful woman in the world is a black woman! Shabaash!!

Are Black Women Less Attractive? Blogger Says So

mmh! Hao maalbino wanahangaika kweli kutuharibu kisaikolojia.
Nina uhakika kungekuwa na mikorogo ya kuwafanya wawe weusi wangetumia.
Aaaaarggg! Nina hasira nao!
 
Jamani colour is skin deep. Cjui lkn am black and proud to be that. Hata sipotezi muda wangu thinking of being light-skinned. Between colour and brains, give me brains any day...

And please do not tell me also all successful women are white. Mmh...

Wallahi kwa hilo nakusifu, sana tena sana. Basi wenzetu wengi hawajamiani na hujitia mkorogo mpaka ukawalemaza, tazama mapicha hapo juu mama. Na Wallahi nnakuambia, hufanya hivyo si kwa ajili wanataka sana kujikoroga, la hasha, ni nani atakae hasara? mkorogo ni ghali mama, tena hasara nyingine ni ya kujiunguza ngozi mama na kuota ndevu na masharubu kama bahushi, hufanya hivyo kwa ajili ndivyo wanaume wa kiafrika watakavyo, na hulipia hivyo vimkorogo, laiti hawa vijana wangalifahau uzuri wa asili aliotupa muumba wetu wasingeyafanya hayo.
 
kwangu mimi naona black ni attractive. but nadhani hii ni kutokana na feelings tu.
 
author Satoshi Kanazawa HAHAHA!! wajapani na wachina wanachukulia mtu mweupe kama mungu kwao!! Traditionaly kitu cheusi ni kibaya sana.. kuna rafiki yangu anasoma china alinambia neno afrika kwa kicha ukitafsiri moja kwa moja ni neno baya sana.. nikabaki nashangaa...
 
attracted by white women? give me a break. sorry researcher, not even asians. beauty in a woman...is found only on a black race. sorry man, but thats true!
 
Back
Top Bottom