Black women are less prettier and attractive than others! Mmmh!

Mh ! haya we dunia ina mambo !!!
tusiseme mengi tujaonekwa twaleta togoo.....hawa wazungu jamani hawana lao jipya waulize walonao watakwambieni, katika 100 basi 90 wanajuta kuwaowa,pia ni nadharia ya binaadam kutaka kitu asichokipata kwani hata wao wanataka rangi nyesi / kahawia ndo maana unakuta wanaota jua ili wapate angau kubadilika kidog,kwani wengine huwa kama majoya.
ukiniuliza nyama nitakwambia kila mtu na mapishi yake kwa hiyo jinsi unavyoinogesha viungo na utamu unazid, ila mvutyo wa nje kwa mimi seuona (kila mtu ana jichole).
wana msemo ONCE YOU GO BLACK YOU WONT COME BACK......waulizeni mabeacboy wanayajua hayo
mawazo yangu..............
 
Generally K nyeusi kusema kweli zina joto sana kuliko K nyeupe na hukawii kumwaga.Lakini ukizungumzia mapenzi hasa,ngono na manjonjo yake,watoto wa kitasha wana raha yake mazee
sorry kama niko nje ya mada!
 
Unachokataa ni nini? wakati tunaona mikorogo ya kutufanya tuwe weupe ili tuwe "attractive". Sijaona mkorogo wa kuwafanya weupe wawe weusi.

Unless kama huwajui na haujawahi kuishi nao, wakati wa winter huwa wanakuwa weupe sana (mara nyingi wana complain, I'm so white) na huwa hawaupendi ule weupe wa winter. Ikija spring huwa wanaanza kutafuta sehemu za kufanya sun tanning na wakati wa summer ndo hukesha kwenye jua mpaka wanababuka.

Kwahiyo mkologo wao upo ila wa huuita tanning

Umesahau mawigi..

Kuna haja ya waafrika kujipenda na kujithamini kama walivyo..
Kuna watu wanajipiga 'bleach'...kutafuta weupe!
Lakini nahisi wanawake wa-kiafrika wakibaki kuwa 'natural' wanapendeza tu.. Urembo kiasi

Ni kweli wanawake wetu huwa hawajiamini hii inatokana na kutokujitambua na pia inachangiwa na historia ya ukoloni. Hawa wenzetu waliweza kusambaza utamaduni wao kwenye sinema, magazeti n.k na kutuaminisha kuwa uzungu ni bora. kwahiyo watoto wa kike tangu wakiwa wadogo wamekuwa conditioned kuwa, uzuri ni uweupe au kuwa na nywele za kulala ndiyo maendeleo.

Hata hivyo na wao pia wana hiyo tabia ya kutokujiamini, mfano wengi wao makalio yao ni bapa na huwa hawapendi kwahiyo wasichana wengi wakizungu huvaa suruali zilizokuwa 'modified' kutunisha makalio.

Kwa wale wa Hollywood huwa wanajipiga sindano ili kutunusha makalio.

Pia unaelewa chanzo cha kuwa na 'high hills?

Sababu ni kubinjua makalio, hii shepu ya kubinjuka kwa nyuma wanawake wengi wa kiafrika wanayo ila kwa wazungu ni nadra sana, ndiyo maana wakatengeneza hivyo vimchuchumio. Kwahiyo hata wao pia wanajaribu kuwa na muonekano wa maumbile yetu sema tu huwa hawasemi hivyo.

Ni wajibu wetu pia kufanya tafiti kama zao ili tuwaoneshe upande mwingine ya shilingi. kwa kuhitimisha tuu niseme, binadamu wote ni sawa na tofauti zetu ni utukufu wa Muumba wetu.
 
Black women hawako naturally attractive, ndio maana kwenye mashindano ya uzuri wanalazimika kujikondesha kufanana na urembo wa wembamba wa mzungu. Ndio maana wanawake weusi, hata awe na umaarufu kiasi gani, wanavaa manywele ya kizungu na kujichubua ili wavutie vutie angalau.

Kama Beyonce.

article-1357197-0D332469000005DC-98_468x712.jpg

No mie napingana na wewe, wapo wanawake weusi wengi tu maarufu wanaojiamini na uzuri wao wa kiafrica, kwa kuanzia mcheki huyu kiumbe Flaviana Matata, is'nt she pretty and attractive??achana na kitu mpingo bwana....
221797_162770273783595_100001518700636_380381_7171116_n.jpg
 
Unless kama huwajui na haujawahi kuishi nao, wakati wa winter huwa wanakuwa weupe sana (mara nyingi wana complain, I'm so white) na huwa hawaupendi ule weupe wa winter. Ikija spring huwa wanaanza kutafuta sehemu za kufanya sun tanning na wakati wa summer ndo hukesha kwenye jua mpaka wanababuka.

Kwahiyo mkologo wao upo ila wa huuita tanning

Ni kweli wanawake wetu huwa hawajiamini hii inatokana na kutokujitambua na pia inachangiwa na historia ya ukoloni. Hawa wenzetu waliweza kusambaza utamaduni wao kwenye sinema, magazeti n.k na kutuaminisha kuwa uzungu ni bora. kwahiyo watoto wa kike tangu wakiwa wadogo wamekuwa conditioned kuwa, uzuri ni uweupe au kuwa na nywele za kulala ndiyo maendeleo.

Hata hivyo na wao pia wana hiyo tabia ya kutokujiamini, mfano wengi wao makalio yao ni bapa na huwa hawapendi kwahiyo wasichana wengi wakizungu huvaa suruali zilizokuwa 'modified' kutunisha makalio.

Kwa wale wa Hollywood huwa wanajipiga sindano ili kutunusha makalio.

Pia unaelewa chanzo cha kuwa na 'high hills?

Sababu ni kubinjua makalio, hii shepu ya kubinjuka kwa nyuma wanawake wengi wa kiafrika wanayo ila kwa wazungu ni nadra sana, ndiyo maana wakatengeneza hivyo vimchuchumio. Kwahiyo hata wao pia wanajaribu kuwa na muonekano wa maumbile yetu sema tu huwa hawasemi hivyo.

Ni wajibu wetu pia kufanya tafiti kama zao ili tuwaoneshe upande mwingine ya shilingi. kwa kuhitimisha tuu niseme, binadamu wote ni sawa na tofauti zetu ni utukufu wa Muumba wetu.

Sasa sun tanning ndio mkorogo? unanchekesha. Na hata ajitan vipi hawi kama sisi babu wee, unanini?

Makalio si sisi huku tuna-mentally ya kuyapenda na tusiokuwa nayo tunayanunuwa ya kwa mchina, au hujuwi hilo?

Babu wee, ukweli ni ukweli tu. Wewe kama mtu wa kwenda ma outing naomba wahesabu ni wanawake wangapi waliojikoroga na wangapi wana nywele sio za asili. Halfu uje hapa tubishane. Khaa, unabisha vitu ambavyo vipo wazi kabisa?
 
ila mujuwe pia wazungu wengi wao hawavutiwi na mapaja meusi kama sisi wanaume weusi hatuvutiwi na mapaja ya weupe. ila mmoja mmoja ambaye naweza kusema kapigika kimtindo:biggrin1:
 
Niambie, nani katika hawa ana uzuri wa Kiafrika? Wote fake. Mkorogo, nywele za maiti. Sasa mwataka tetea nini?

4.jpg

No mie napingana na wewe, wapo wanawake weusi wengi tu maarufu wanaojiamini na uzuri wao wa kiafrica, kwa kuanzia mcheki huyu kiumbe Flaviana Matata, is'nt she pretty and attractive??
no she is not, Matata nae, kama wengine, amejitahidi kujikondesha ku mesh na sex symbol ya uzuri wa mzungu.

Flaviana.JPG

Japo kwa Mwafrika, mifupa iliyopigwa pasi kama hii ikikupitia barabarani haigeuzi mtu shingo, bado Matata analazimika kujikondesha apendeze kama mzungu.
 
Sasa sun tanning ndio mkorogo? unanchekesha.
Tanning ni mkologo tuu labda kama umekariri kuwa mkorogo lazima uwe kama wa kiswaz
Na hata ajitan vipi hawi kama sisi babu wee, unanini?
Hiyo haita wezekana kwasababu hata mwafrika mweusi tii kamwe hawezi kuwa kama mzungu hata kama akitumia mapipa ya mikologo.

Makalio si sisi huku tuna-mentally ya kuyapenda na tusiokuwa nayo tunayanunuwa ya kwa
Unaona sasa unalivyo kariri... nani kakwambia wazungu hawapendi nice tight butt? Wewe unajua kwanini butt injection ni popular kwa wa magharibi? Unafikiri ni kwanini pia wanafanya lip injection? Unafikiri big lips ni features za kizungu? You seem to be out of touch and have no clue of what you're talking about.

Tofauti yao na wanawake wetu ni kwamba process zao za kuiba qualities za races nyingine zimefanyiwa research na zipo sceintific zaidi.

Babu wee, ukweli ni ukweli tu. Wewe kama mtu wa kwenda ma outing naomba wahesabu ni wanawake wangapi waliojikoroga na wangapi wana nywele sio za asili. Halfu uje hapa tubishane. Khaa, unabisha vitu ambavyo vipo wazi kabisa?

Samahani sina muda huo.
 
Tanning ni mkologo tuu labda kama umekariri kuwa mkorogo lazima uwe kama wa kiswaz

Hiyo haita wezekana kwasababu hata mwafrika mweusi tii kamwe hawezi kuwa kama mzungu hata kama akitumia mapipa ya mikologo.

Unaona sasa unalivyo kariri... nani kakwambia wazungu hawapendi nice tight butt? Wewe unajua kwanini butt injection ni popular kwa wa magharibi? Unafikiri ni kwanini pia wanafanya lip injection? Unafikiri big lips ni features za kizungu? You seem to be out of touch and have no clue of what you're talking about.

Tofauti yao na wanawake wetu ni kwamba process zao za kuiba qualities za races nyingine zimefanyiwa research na zipo sceintific zaidi.

Samahani sina muda huo.

Utachekwa wewe kijana , kusema tanning ni mkorogo, hata huo mkorogo huujuwi kuutamka (wauita mkologo) halafu wataka bishana. labda huo "mkologo" wako ndio uwe kujitan ili uwe mwaafrika. Kama hujuwi kujitan, nikueleze enn, hata ngozi za ng'ombe na mbuzi hufanyiwa tanning, ili ziwe nini? nna uhakika hujuwi nami sikujuzi kkwani umbishi babu wee, basi hiyo ya kujianika juani wao huita sunbath, sasa wataka sema wazungu pekee ndio hufanya sunbath? khaa! hata paka hufanya. Wee hujaona waafrika waki sunbath? na hao wazungu wakijitan ndio huwa waafrika? tazama juu hapo nimekuwekea picha za waafrika wautakao weupe, haya ni kwa nini wafanya hivyo? unalo? umekushuka shuu! Na sio kama hujui, wayajuwa sana bali ni ubishi tu unakusumbuwa. Kwa hilo babu huwezi enhhh, na mwanamme akiwa mbishi sana huwa na kasoro, nikueleze basi. Nimekuwekea mapicha juu hapo kibao. Na wewe niwekee ya wazungu wanaojitan wakawa kama waafrika. Khaa, unanini wewe? Hutupwi?

Kama huna muda tazama picha nimekuwekea, mpaka ya shughuli ya harusi, halafu nambie ni wangapi hapo natural? shuuu!
 
Nimekuwekea mapicha juu hapo kibao. Na wewe niwekee ya wazungu wanaojitan wakawa kama waafrika. Khaa,

Ona wenzako wanavyo itafuta (malenin) kwa nguvu
(electric tanning)

003.jpg

Ona mwenyewe jinsi wanavyo hangaika kuwa na big butt- Round butt ni feature ya kiafrika

MAKE BUTT LOOK BIG BIGGER UNDERWEAR PANTY HOT AND SEXY On Ebay

2606489557794040_1.jpg

Lip injections - kama ulikua hujui big lips ni features za kiafrika

lipenhancement.jpg

Najaribu kukuelewesha kuwa hata hao wazungu unao wababaikia wanapenda kuwa na features za kiafrika yaani Big butt, big lips na malenin.

  • Thanks
Reactions: BAK
Sikubaliani na hii Michelle.
hata attractiveness, kwa ngozi nyeusi iko juu zaidi ya ngozi nyeupe. unaona hata mivao yao? utakuta mdada mweupe kavaa ovyo lakini akapita hapo wala watu wasitetemeke, check hiyo nguo ivaliwe na mdada mweusi, kila mtu anageuka.

Hata wanaume wa kizungu huwa wanasema hivyo hivyo. Anapita mwanamke mweuzi mapaja nje nje wala asitetereke. You reminds me of Lucky Dube's words.

"When we read in the Bible about the creation of the Earth, it tells us that man was created in the image of God. But it does not tell us if God was white, black, coloured, Indian or whatever. When I see a black man...i see the image of God, when I see a white man...I see the image of god, I see an Indian...I see the image of God, colours and everybody, we are the images God. God is one. and that is why, we are his children, and the only thing that is keeping us apart is.......... we must stop it, and come together as one........"
 
Jamani colour is skin deep. Cjui lkn am black and proud to be that. Hata sipotezi muda wangu thinking of being light-skinned. Between colour and brains, give me brains any day...

And please do not tell me also all successful women are white. Mmh...
 
Ona wenzako wanavyo itafuta (malenin) kwa nguvu
(electric tanning)

View attachment 30443

Ona mwenyewe jinsi wanavyo hangaika kuwa na big butt- Round butt ni feature ya kiafrika

MAKE BUTT LOOK BIG BIGGER UNDERWEAR PANTY HOT AND SEXY On Ebay

View attachment 30447

Lip injections - kama ulikua hujui big lips ni features za kiafrika

View attachment 30449

Najaribu kukuelewesha kuwa hata hao wazungu unao wababaikia wanapenda kuwa na features za kiafrika yaani Big butt, big lips na malenin.

Haaa babuwee usinibadilishie maneno mie, nimekuambia waafrika ndio tunaojikoroga, wewe wanambia tanning, nikakuambia hata n'gombe hufanyiwa tanning na si kujikoroga.

Sasa hayo m.a.t.a.k.o. hata sisi waafrika twayanunulia dawa za kichina, kwani wote tulio nayo? una nini weye? tazama juu hapo kuna picha ya kasichana kamepigwa kwa nyuma, sasa hako nako ni kazungu? huwachi?

Waafrika hatuna mvuto ndio maana twanunua mikorogo na kubandika nywele za maiti! ukweli ndio huo ukiutaka usiutake na hata hicho kimwanamke chako kitazame kama hakijajajikoroga au hakijavaa nywele za maiti? Na huo mvuto tusiokuwa nao ni kwenye vichwa vyetu na si kwenye maumbile. Na kwa kukujuza tu, hiyo research ilifanywa Afrika na walioulizwa wengi ni wanaume wa kiafrika, mjapani kakusanya data tu. Wala msijitetee, hao wanawake wangejuwa kaa mnavutiwa na rangi zao za asili na nywele zao za asili unafikiri wangejikoroga? la hasha babuwee, kwani hujifanya vile kwa sababu ya nini? si wanawajuwa wanaume wa kiafrika (mlio wengi) weakness zenu.
 
Somehow this is True....we are less attractive but we are so very beautiful than white women.

attraction and beauty are two different things!!

michelle acha kuniangusha bwana. you are both beautiful and attrative.
wala hakuna doubt hapo.
women do not know themselves that men does when it comes tobeauty and sexuality.Vaisi vesa is true.
 
Back
Top Bottom