Black Monday??

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
 
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.
Aksante kongosho kwa kuniwakilisha! Mie leo najisikia kulialia, hacrahacra ilmradi siko sawa.

Sijui ndo menopouse!
 
Hunifikii,
najisikia kama kuvunja vunja vitu
I feel like punching Gods knows what?

Yaani leo hata mtu aangushe kijiko ntalia aisee.
Nimejaribu kwenda mmu, nkaona ntaharibu sredi za watu bure.

Aksante kongosho kwa kuniwakilisha! Mie leo najisikia kulialia, hacrahacra ilmradi siko sawa.

Sijui ndo menopouse!
 
kweli siku hazilingani.
hii siku inakuwa ngumu sana kuimaliza.
Ari yangu iko chini sana.

Sijui ndo black monday???
Not my usual thing, ngoja nikapige ulabu labda itasaidia.

hujambo Kong'?
Nasikia ulinimiss ati...
 
Ilikuwa black asubuhi ila kwa sasa imekuwa poa hata mimi sikuwa na munkari wa kazi ila kwa sasa niko fiti kwelikweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom