Black Market Bongo

subash

Member
Dec 30, 2011
75
36
Jf members, kuna duka (money link) liko mtaa wa samora huko dsm linasifika kwa kusafirisha hela za kigeni kwenda nje ya nchi na hakuna trtb sawia zinazofuatwa, wwnye data zaidi plse wekeni hasa nyie wakaaz wa bongo . Nimesikia hata ukitaka kupeleka hela afghanistan is click of second., hapa suala la source hakuna ww fuatilia then utaelewa mm subashbhai nasema kweli au la. Ss wahindi natumia sana kupeleka pesa mumbai
 
TISS mnatafuniwa kila kitu na JF mnataka hadi tuwamezee? Subash najua nini umemaanisha!
 
Wengine hatulijui jamani, mtusaidie ili hata huku ng'ambo tuweze kulitumia. si mnajua ni vigumu kuondoka na hela nyingi kwa mama au hata kwa jaluo obama.
 
Yapo mengi hapo kariakoo lakini wanakubali dolali na pound tu kaka
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom