Black Mamba...

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,634
4,519
199622_412670952123946_970292116_n.jpg


John Butler Walden aka Black Mamba hapa alipokuwa kijana katika cheo cha captain,tutamkumbuka kama mmoja wa askari waadilifu waliowahi kulitumikia jeshi letu hasa katika kumfukuza Idd Amin...
 
mbona ni mkaburu? katokea wapi huyu jeshini mwetu? Fafanua mkuu.
 
kumbe hamjui historia yenu, hawa ni kati ya mashujaa walioifanya nchii iwe inaogopwa na majirani zake, sio hizi nyakati za dhaifu anaiogopa hata malawi!
 
guys help me up kila nikitaka kupost mada yangu hapa inashindikana so pleasehelp me nifanyaje?
 
hivi kila Mdanganyika lazima awe mweusi, wacheni kasumba nyinyi yule Abdalla Talipo alikuwa mweusi halafu pale air wing kulikuwa na jamaa fulani tokea Nachingwea alikuwa mweupe pia
 
[video]http://2.bp.blogspot.com/-nDjxZAmz078/Tj0_kMnh1gI/AAAAAAAANRw/1bDK05dj6Gw/s1600/289661_241658155864685_1873348 27963685_807048_6957622_o.jpg[/video]



Huyu ni R.I.P MG Silas Mayunga a.k.a Mti Mkavu
 
Back
Top Bottom