Bishanga

Umempenda wewe.
Shostito Bishanga njoo uzishushe za TS zimepanda kweli
 
Last edited by a moderator:
Umempenda wewe.
Shostito Bishanga njoo uzishushe za TS zimepanda kweli
 
Last edited by a moderator:
Umempenda wewe.
Shostito Bishanga njoo uzishushe za TS zimepanda kweli
 
Last edited by a moderator:
Amewahi kumiliki degree 3 , na umri ni mdogo!
Hence side effects yake ndiyo hiyo!
Zinamchanganya.
Watu sampuli hii wana vioja vingi , mf. Waweza mkuta anatembelea viatu vya Yeboyebo au Ndala zilizochoka ilhali hom kaacha mipair ya boots mingi aliyotokanayo Ulaya.
Dawa yao ni maombi tu.
 
degree 3 tu. phd baba iliyokubuhu ndo maana ya mabachela kibao umri unaruhusu hormone zinanyevuanyevua .kama shubiri tamu asali ina radha gani?
 
Wapi Bishanga uje ujibu mashambulizi naona wiki hii wamekuamulia kwelkwel,sijui uliwanyima nini???!!!
 
Last edited by a moderator:
Tayari mtu keshaingia kingi...Ni suala la Bishanga tu kuamua amchinje bata siku gani
 
Last edited by a moderator:
Anaonaekana wa masaki tabia za kiswazi

Ukimpenda utamwambia tu badala ya kujizungusha mara uume kucha,mara uangalie chini,mara uchokonoe ardhi kwa dole gumba,mara ufungue thread chit chat,yote haya nini mamito,be straight and say it loud n clear:
Mimi The Secretary,nikiwa na akili zangu timamu,bila kushurutishwa na MoDs natamka mbele ya hadhara hii tukufu ya jf kuwa EWE MBONI YA JICHO LANGU BISHANGA NAKUPENDA,JANA SIJALALAKWA KUKUWAZA NDO NIMEAMKA NA UZI HUU-
 
Back
Top Bottom