Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
mbona siku hizi namwona na ......... kwenye viwanja?Tuachane kisa nini? Mtasubiri sana ila haitakaa itokee...
mbona siku hizi namwona na ......... kwenye viwanja?Tuachane kisa nini? Mtasubiri sana ila haitakaa itokee...
mkuu Kipatimo kwa kingunge ushawahi kufika?Nilipata taarifa kwamba uko Kipatimo................Kule ni sawa uchoke kuwalamba wake za watu, maana wako bwelele...............LOL
Sio yeye, utakuwa umemfananisha.mbona siku hizi namwona na ......... kwenye viwanja?
tatizo lako ubishi,next time nitawapiga picha niirushe mmu kila mtu aione,we subiri tu,kwanza nasikia kona yao buibui gesti kinondoni.Sio yeye, utakuwa umemfananisha.
We, taratibu na mdomo wako. Nitonye aende buibui amekuwa Bishanga?tatizo lako ubishi,next time nitawapiga picha niirushe mmu kila mtu aione,we subiri tu,kwanza nasikia kona yao buibui gesti kinondoni.
Hivi yaani seriously kabisa...yaani yaani we ngoja tu..Salama bi mkubwa na bwa-mkubwa??? :target:
Huyu ana kesi zaidi hata ya Mawaziri kutakiwa kujiuzulu....halafu naona....silence tells me she's thinkin...TF, sema naye basi huyu kwa herufi kubwa.
Hivi yaani seriously kabisa...yaani yaani we ngoja tu..
Ngoja nimalizane na Lizzy...shhhhhhh taratibu Bishanga asishtukieYaani, nimeshamtafutia Poloniam lakini wapi? Nimemlaza barazani where?
Basi a-think haraka ili aje huko
:mad2::mad2::mad2::mad2:.....Haujipendi ehee..ngoja nije hukoNa mie najisemeaga hivyo hivyo.....si vizuri jamani kaka....nimetafuta kaka mwingine kimjini mjini, ndo ivyo tena!
Sie tuko salama.:glasses-nerdy:
( Hii salamu ina heri kweli ):scared:
Na mie najisemeaga hivyo hivyo.....si vizuri jamani kaka....nimetafuta kaka mwingine kimjini mjini, ndo ivyo tena!
Ngoja nimalizane na Lizzy...shhhhhhh taratibu Bishanga asishtukie
Huyu ana kesi zaidi hata ya Mawaziri kutakiwa kujiuzulu....halafu naona....silence tells me she's thinkin...
Hahahaha!! Kumbe ndio maana she/he being that much polite...lolUsimpe muda Kongosho....analo jambo limemkaba haswaaa halimtoki...mwachie aliemeze mwenyewe au ateme kama anaweza....he he he he....sasa anafuata ndugu....chezeya Michelle sasa....we saizi yako.....sithemi!
:mad2::mad2::mad2::mad2:.....Haujipendi ehee..ngoja nije huko
Hahahaha!! Kumbe ndio maana she/he being that much polite...lol