Bishanga, popote ulipo. . .

Hahahaaaa unaanza kujiuma uma eeeh
subiri aje Asprin hapa, ndo atagundua Bepari la Kihaya limemzidi maarifa..... Na kupinduliwa kwa asali wake....

Atakuwa mdogo kama piriton loh!!!!!

Ha ha , hata wewe hunisomi?
Ngoja aje naniliyu anisome.
 
Mie ni asali wa ODM, masega wa Bishanga, sukari wa Rejao.

Ila nina husband :) mmoja tu.

Hahahaaaa unaanza kujiuma uma eeeh
subiri aje Asprin hapa, ndo atagundua Bepari la Kihaya limemzidi maarifa..... Na kupinduliwa kwa asali wake....

Atakuwa mdogo kama piriton loh!!!!!
 
bishanga ni kama mlenda, labda nikomae kwa ulimi yaani huwa haruki kabisa hapa kwangu.

Nimemtoa ICU baada ya kupigwa huko Mchele Ltd.

Hahahahahaaaa hapa huwezi komaa kwa Bishanga tu
 
bishanga ni kama mlenda, labda nikomae kwa ulimi yaani huwa haruki kabisa hapa kwangu.

Nimemtoa ICU baada ya kupigwa huko Mchele Ltd.
Sasa mwambie asiende tena kule hakumfai labda afanye kwanza mazoezi ya kula mirungi
 
Last edited by a moderator:
I am not Mrs Saint Ivuga. Mbona mnachanganya mambo?

watu peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...... kimelia

pozi la mtu hapa jf leo

crying-man.jpg

au hili

thumbnail.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom