Bishanga, popote ulipo. . .

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,164
Byshernger, popote ulipo tambua kuwa senene ulioniachia nimewatunza hadi utakaporudi.

Ni kitu gani kilikupata ulipohamia Unga Ltd?

Njoo nitakupeleka Mchele LTD, kitu gani unga bana.

Nimekumiss sana!
 
Byshernger, popote ulipo tambua kuwa senene ulioniachia nimewatunza hadi utakaporudi.

Ni kitu gani kilikupata ulipohamia Unga Ltd?

Njoo nitakupeleka Mchele LTD, kitu gani unga bana.

Nimekumiss sana!

hao senene hawajaanza kuliwa na shibungi?

TB umemaliza kumuimbia besdei?
 
yamenikuta!
Kesho nashuka na uzi mmu,title:
'nimekoma kulamba wake za watu',
stay tuned namhangaikia mgonjwa icu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom