Bishanga kafiwa na Baba yake Mzazi

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Nimepokea taarifa sasa hivi kuwa Member mwenzetu (Bishanga) amefiwa na Baba yake Mzazi.

Napenda kutoa pole za dhati kabisa kwa Familia nzima ya Bishanga.

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Baba yetu mpendwa.

AMEN
 
Poleni sana familia ya bishanga. tunawaombea kwa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu mlichonacho. RIP baba yetu.
 
Pole sana wewe na pamoja familia yako. Mwenyezi Mungun awatie Moyo, Nguvu na Imani katika kipindi hiki kizito cha msiba.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, njia ni moja na kila mtu atapitia, mwenzetu ametangulia nasi katika saa wala tarehe wala mwaka tusiojua tutafatia.
 
Pole Bishanga na familia yako,

Mungu yu pamoja nawe kukufariji, yeye alimpenda zaidi.

R.I.P baba Bishanga.
 
RIP baba bishanga... Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu, Amen!
 
Mungu amtie moyo bishanga katika kipindi hiki kigumu.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jinal ake lihimidiwe!
 
Nawaombea Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba,Bwana ametoa na Bwana ametwaa kazi ya Mungu haina makosa. Amina.poleni sana wanafamilia.
 
Pole sana baba yetu, babaake Bishanga!
Mungu awape faraja ndugu za marehemu@!
Lakini roho ya marehemu ilazwe mahala pema!
 
i feel sorry for u Bishanga!!!

sisi wana JF hatuwezi kukufariji ama kuziba pengo la mzazi wako!! Zaidi ya yote tunamkaribisha rohomtakatifu awe mfariji wako, akutie nguvu, akukumbatie, akufundishe kutoka na kuingia!!!
 
Nimepokea taarifa sasa hivi kuwa Member mwenzetu (Bishanga) amefiwa na Baba yake Mzazi.

Napenda kutoa pole za dhati kabisa kwa Familia nzima ya Bishanga.

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Baba yetu mpendwa.

AMEN

R.I.P baba ake Bishanga
 
Molla, awajalie subira na kheri muweze kupita kipindi hiki kigumu, na kumuombea Pepo na neema za utukufu wake Mwenyezi, Baba Bishanga alale mahali pema peponi Ameen.
 
Back
Top Bottom