Bishanga anapenda kuchonganisha huyooo

Kwenye CV ya mapenzi mie CEO, wewe umezoea kula wafagiaji.

Utaweza vya kuchinja wewe????

Hata mie siwezi wapa pilau nililopika kwa ufundi watoto walimwage wakati wakubwa wenzangu wanaoweza kulila kwa ufundi wapo tele.

He he he he, lako hilo babuee.
Hee hee ilikuwa zamanii wakati Kongosho
bado kigori siku hz kaisha nani anamtaka lol
Niko zangu kwa binti mdogo Amyner sitaki wabibi
 
Kwenye CV ya mapenzi mie CEO, wewe umezoea kula wafagiaji.

Utaweza vya kuchinja wewe????

Hata mie siwezi wapa pilau nililopika kwa ufundi watoto walimwage wakati wakubwa wenzangu wanaoweza kulila kwa ufundi wapo tele.

He he he he, lako hilo babuee.
Heheheee mi nataka vyakula laini yanini pilau linichafue tumbo?
 
He he he, Mamndenyi moyo wangu sijaugawa hata kidogo
Wengine wote hawajaingia hata mdomoni sembuse moyoni? Huko moyoni yuko mooja tu.

Ngoja apumzike kwanza, nitamrudisha badae sasa namdekeza dekeza kidogo.

hiyo hat yako mbona umeigawa vipande vipande sana,
kwanza mrudishe The Boss haraka najua umemhifazi
kwenye chupa hata haonekani tena, we mtoto mbona
una mambo/
 
Last edited by a moderator:
Mhe, Byshanger nimelazimika nikukubali ama kwa kutaka ama kwa kutotaka!
Na sababu ya mi kua hivyo ni kwa namna ulivyojibu mapigo chumba baada ya chumba. Hata hivyo kuna habari zilizokwishathibitishwa, kua kupotea kwao jana jioni kwenye huu Uzi, na hatimae ukaufanya Uzi kua mrefu kiasi hiki.
Habari zinasema hiyo jioni ya jana ULIKUA UNASUTWA FCBK. ndiyo kusema baada msuto wa fcbk sasa unasutwa Jf, mkubwa hizi habari zina ukweli?
Au unasingiziwa?
 
Kwenye CV ya mapenzi mie CEO, wewe umezoea kula wafagiaji.

Utaweza vya kuchinja wewe????

Hata mie siwezi wapa pilau nililopika kwa ufundi watoto walimwage wakati wakubwa wenzangu wanaoweza kulila kwa ufundi wapo tele.

He he he he, lako hilo babuee.

mmmh......kuna watu siku wakiondoka humu jamvini lazima kutapoa kabisaaa!! Hujambo Kongosho???
 
Mhe, Byshanger nimelazimika nikukubali ama kwa kutaka ama kwa kutotaka!
Na sababu ya mi kua hivyo ni kwa namna ulivyojibu mapigo chumba baada ya chumba. Hata hivyo kuna habari zilizokwishathibitishwa, kua kupotea kwao jana jioni kwenye huu Uzi, na hatimae ukaufanya Uzi kua mrefu kiasi hiki.
Habari zinasema hiyo jioni ya jana ULIKUA UNASUTWA FCBK. ndiyo kusema baada msuto wa fcbk sasa unasutwa Jf, mkubwa hizi habari zina ukweli?
Au unasingiziwa?

ni kweli nilienda kumtoa huko
 
Back
Top Bottom