Birthday yangu

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,555
19,420
Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia.

Hebu nipe salamu za happy birthday na naahidi nitazipokea kwa moyo mkunjufu kwa vile nimeshavuka kiwango cha umri wa mtanzania wa kawaida, yaani ninakula bonasi ambayo watanzania wengi hawaipati.
 
Shikamo!
Happy Birthday to you .......X 2
Happy Birthday dear Kichuguu.
Happy Birthday to you.

How old are you?
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=FchMuPQOBwA&feature=related[/ame]

Happy Birthday Mkuu Kichuguu. Have a lovely and enjoyable day with your loved ones and may you live to blow 101 candles. HAPPY BIRTHDAY.
 
Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia.

Hebu nipe salamu za happy birthday na naahidi nitazipokea kwa moyo mkunjufu kwa vile nimeshavuka kiwango cha umri wa mtanzania wa kawaida, yaani ninakula bonasi ambayo watanzania wengi hawaipati.
hongera sana!
ninachokifurahia ni kwamba na mimi pia ni birthday yangu.idea ilikuwa kupost the same stuff.lakini kama hivi umeniwahi haina mbaya,naomba tuungane kuiadhimisha siku kama hii!

happy birthday kichuguu+geoff
 
Mshakuwa Twins nyie! lakini wa Baba mbali mbali na Mama mbali mbali ha ha ha ha ha ha HAPPY BIRTHDAY to both of you.
 
hongera sana!
ninachokifurahia ni kwamba na mimi pia ni birthday yangu.idea ilikuwa kupost the same stuff.lakini kama hivi umeniwahi haina mbaya,naomba tuungane kuiadhimisha siku kama hii!

happy birthday kichuguu+geoff

Naomba sana uni-PM
 
E bwana Wakuu hongereni sana,dunia yenyewe hii ya sasa yenye magonjwa ya kila aina mna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuwafikisha huo umri mliofikisha.

Ila aina hii ya mapacha sijui tuiiteje,maana wamezaliwa siku moja na wazazi tofauti,chakushangaza sasa wana umri tofauti.
 
hahahahah!
mkuu kwa niaba yangu na kichuguu napenda kutoa shukrani zangu za dhati.

napenda kukuthibitishia tu kwamba tu mapacha.na mzazi wetu hapa ni jf
 
Happy birthday, may you live to blow 100 candles,

May your children listen to your stories and the wisdom and teaching in them so that they pass the same to their children who will do the same to their children.

In so doing your wisdom will pass through generataions and generations.
 
Back
Top Bottom