Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Haya bana..... though am not sure!
Why???
Haya bana..... though am not sure!
Why???
Yaani shwarii hamna shariii, Mi na mabinti dam dam, kweeliii? Sabab ziko wazi mwenye macho aoneee eeee
Wako mabinti wa kila namna, wenye sauti kama ya kipipi, sjui nitampata wapi?
Wengine wana macho kama Husninyo, yamelegea bila mvinyo
Ungependa kuliona paja la Lizzy? si utapagawa utakuwa crazy?
Labda ungealikwa na cantalisia na kabakabana, wako real hamna mchina
Usiombe kukutana na Afro mwanawe denzi, mtoto tajiri wa mapozi
Na huyu ana hazina kushinda mgodi, nyuma yuko kamili wezele ni sweetlady
Bado hapo sijataja mwali, yuko mia kila mahali, kumpatia gari wala haitojali.
Verse namba 2 itaendelea nikipata sponsor

hehehe mabinti tayari wamejitokeza kuni sponsor msome kipipi hapa chinihahahaha...good twenzetu kwa pancho tukachukue bit...
Yep I do love mabinti, wao ni mauwa ya dunia hii na inabidi tuyatunze na kuyathamini.Lawyer I believe you agree with the fact that mabinti run the world.....right?? Ndo maana watoa sifa tu na wengine hata hujui pa kuwapata! Endelea na mistari tu, mabinti wapo tayari kukusponsor!
hahaha mstaafu bana! weka chorus basiWewe sikuwezi......
Itabidi hili jamvi tulikimbie.....
Kwa matumizi haya ya keyboards....huwezi kumwimbia binti yako mashairi kweli??
Mubarikiwe nyote!
Babu DC!!
Ngoja nikaombe ruhusa kwa Bibi na pia niombe msaada wa ku-compose!!
Babu DC!!
Ruhusa kama hizi guarantee bibi hatoiNgoja nikaombe ruhusa kwa Bibi na pia niombe msaada wa ku-compose!!
Babu DC!!
Yaani shwarii hamna shariii, Mi na mabinti dam dam, kweeliii? Sabab ziko wazi mwenye macho aoneee eeee
Wako mabinti wa kila namna, wenye sauti kama ya kipipi, sjui nitampata wapi?
Wengine wana macho kama Husninyo, yamelegea bila mvinyo
Ungependa kuliona paja la Lizzy? si utapagawa utakuwa crazy?
Labda ungealikwa na cantalisia na kabakabana, wako real hamna mchina
Usiombe kukutana na Afro mwanawe denzi, mtoto tajiri wa mapozi
Na huyu ana hazina kushinda mgodi, nyuma yuko kamili wezele ni sweetlady
Bado hapo sijataja mwali, yuko mia kila mahali, kumpatia gari wala haitojali.
Verse namba 2 itaendelea nikipata sponsor
Ruhusa kama hizi guarantee bibi hatoi
Mods wakiona hii post yako wanaweza wakakubanhahahaha! Jamani kloro sio mzima.
hahahaha! Jamani kloro sio mzima.
Basi imekula kwangu......
Hivi unaweza kwenda kwa mdau wako (mwenzi) na kumuomba ruhusa ya kufanya majaribio ya kujikumbusha zoezi la AshaDii na ikiwezekana kujinoa ili kurudisha makali??
Babu DC!!!
Mods wakiona hii post yako wanaweza wakakuban
Mzima wewe Hus,
Leo babu yuko njia panda,
Anataka kwenda kuomba ruhusa kwa bibi akawatungie wajukuu mashairi....kwanza, unamshauri aombe ruhusa? Na chance ya kupewa ruhusa ipo? If yes, kwa asilimia ngapi?
Babu DC!!
Halaf tupo cafe moja apa, mi nakuchora tu unavomPM judgement Lol.watakua wameoka visenti vyangu vya internet.
Halaf tupo cafe moja apa, mi nakuchora tu unavomPM judgement Lol.
Kipipi lazima akikuja alfajiri auwe, yaani sredi lake tunalichakachua tena kwa lugha ya taifa? angalau tungelichakachua kwa kiingredha
Lol, hilo chizifresh lina bahati kweli aisee, I wish ningekuwa mimimme wangu judge amelala, kuna chizi fresh mmoja ndio nampm hapa. Lol
Nazani kabla ya kuomba hiyo ruhusa ni vizuri ukatafta lawyer wa rahisi wa kuprocess divorce in advance