Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 286
Binti yako wa kazi hujui umri wake? Wow.
mdada huyu naye!!!!
Binti yako wa kazi hujui umri wake? Wow.
Pole sana.
Kosa ulilofanya ni kutompa 'induction' kuhusu maisha yako na matazamio yako kwake.
Ongea nae, muulize nani muhusika. Kama ni mdogo wako angalia jinsi ya kumuwajibisha kama ni kwa kumtafutia kibarua ili aanze kulea familia. Lakini husisha wazazi wenu. Kama ni kijana wa mitaani, ongea na wazazi wa binti ili wakushauri uwasaidieje kuwajibisha mkwe wao mtarajali. Mchuma janga hula na wa kwao, binti arudi kijijini akaanze maisha ya utu uzima.
Next time wifi yangu, ukipata maid hakikisha ana miaka 18+. Mpe somo kuhusu ukimwi, kubakwa na jinsi ya kujilinda (mfano ukaribishaji wa watoto wa kiume nyumbani wakatinwewe haupo ni recipe ya kubakwa na ukimdaka kazi hana). Mie humueleza maid hata mwenzi wangu ama ndugu yangunakikutaka niambie nitakulinda, na namaanisha. Napenda niwe boss rafiki, so any challenges unaweza kushare. Ila sumu ya nyumba hii ni mimba, ukidaka tuuu unarudi kwenu ukaanze kujitegemea kama kwa kilimo ama vipi. Hapo unakuwa na almanac yabkueleweka, yakitokea mnafanya reference. Namuhofia juu ya ukimwi zaidi kuliko mimba.
Karibia mwezi umeisha msichana wangu akilalamika juu ya kuumwa na tumbo. Kazi yangu inanifanya niwe on the road almost 25 days of the month; hivyo amekuwa akienda hospt mwenyewe. Kama majuma mawili yaliyopita, alinifuata chumbani huku akilia akisema anaumwa sana, akaniletea cheti cha hospt, nikakuta amepimwa vipimo vingi including VDRL which was non reactive, ila mkojo ulikuwa na a lot of pus cells. Aliandikiwa sindano (sikumbuki jina) kama 7 hivi lakini alichomwa 5 na wakambadilishia dawa na kumpa ma Doxy ambayo yalimshinda kwani si mlaji mzuri, kwa kuwa nilikuwa nasafiri; nikamwambia aache hizo dawa anisubiri mpaka nitakaporudi.
Nimerudi juzi, jana nikampeleka govt hosp; majibu ya mkojo na vaginal swab yalikuwa okay, again VDRL was unreactive; walivyomwangalia uke (alikuwa analalamika ana vidonda) wamesema it is okay???; baadaye dr akaandika afanyiwe utra sound kuangalia pelvic infection, ndio natoka kwenye utra sound, matokeo ni kazygote ka 8 weeks.
Sijaongea naye chochote, na honestly sijui cha kuongea naye. Ni binti ambaye nimekaa naye kwa miaka kama 4 hivi, kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa siwezi lea mtoto wake; kwani kazi yangu sio friendly na parenthood. Kingine ninacho ogopa ni the fact kuwa ndani ya miezi hiyo miwili alikuwepo mdogo wangu wa kiume aliyekuja field; huenda walijioa ninavyokuwa safarini.
Nishaurini ndugu zangu how do l first start councilling her, halafu namuulizaje kuhusu huyo aliyemmimba na mwisho ninamsaidiaje?
New updates
Wakati tunakula, ameanzisha maongezi yeye mwenyewe kwamba wali unamshinda. Nikapata nafasi ya kuanza kumuuliza kiutani (huwa ninamtania) kwamba ni nani mwenye bahati; akaguna. Kisha nikamuuliza huyo mtu ameshajua, akanod; nikamendelea kumprobe amesemaje, akainama huku machozi yakimlenga; nikamuuliza amekwambia muitoe? akasema ndio.
Nikamuuliza kwanini, akasema hajajiandaa na kwamba anaishi kwao bado (ni dreva wa mtu binafsi).
She is into deep thinking naye anawazia kuitoa, kisa hataweza kufanya kazi na hivyo ataishije. Baada ya kuongea naye sana, anasema mama wa huyo kijana ni nurse; nimemwambia nikirudi nitaongea naye, lkn bado ni mnyonge nafikiri akili yake kubwa iko kwenye kuutoa huo ujauzito. Ngoja niendelee kumcouncil, nipo naye hapa chumbani ananiuliza kwani akitoa atakufa.

Pole sana, ukubwa jiwe. Sasa mama naomba sana, usijihusishe kwenye kutoa mimba au kushauri kutoa. Ni dhambi ambayo kwa sasa huwezi ona madhara yake ila kwa baadae itakuwa inaclick kwenye kila unachofanya.
Nionavyo mimi, kaa nae mpaka ajifungue, au mrudishe kwa wazazi wake. Hakuna aliye mwema hata mmoja, watapiga kelele sana na maneno mengi, end of the day wanalo na limewaganda.
Mpe matumaini, muombe Mungu akupe mwongozi. Ila usithubutu kutoa au kumshauri kutoa hiyo mimba.
Weka picha kwanza tumwone
ili kiwe nini?acha kufanya masiksahara na vitu vya msingi!
Weka picha kwanza tumwone
Uzi wa 2012 unkuja quote leoYou gotta jokes!
Uzi ni wa muda mrefu muwe mnaangalia na tarehe uliowekwaKitendo cha huyo binti wa kazi kukufata chumbani, kinanipa tabu sana
Uzi wa 2012 unkuja quote leo