Binti wangu wa kazi ni mjamzito; nifanyaje?

Thanks again Kindimbajuu, nitaongea naye leo ngoja nimbembeleze ale, maana ulaji wake umekuwa shida sana!
usizungumzie magonjwa ... nk wewe zungumzia mimba na raha ya kuwa na mtoto, zaidi. na kujua nani baba. zungumza sana either wewe ilivyofurahia wakati wa mimba ya kwanza, au namna unavyotamani mtoto... angalia linalofanana na anavyokujua, japo unachosema si kweli, unatakiwa tu umuweke kwenye mazingira ambayo utamuokoa. kumuonyesha usoni kuwa unamuonea huruma alivyopotea, ataogopa na atajiuliza kama boss mwenye "mijihela" na uzoefu anaogopa, je mimi? anaweza hata kubwia dawa humo ndani.. si unajua bongo, kila dawa ipo duka la dawa, akisema dada amenituma anapewa tu hata kana dozi ni X10, alimradi amelipa
 
Mahousegel wana mambo sana hawa.
Hata ivo si dhambi housegel wako kubeba ujauzito.
mweleze huwezi lea mwanae, ili ajue kabisa huna na wala huwazi kumwacha aendelee kuishi na wewe kulea wana wasio wako.
 
Mpigie simu huyo dogo wa field ukimueleza kuwa kuna mzigo wake na habari hizo umeambiwa na HG wako ili umtege kama kweli ye muhusika.Pia hawa HG huwa wanadanganywa kirahisi juu ya kumtaja mhusika so kama mhusika ni ndugu yako plz msaidie kwa busara zote
 
Ma Housegirl wengi, hupewa elimu ya kazi tuu, husahau kuwaelimisha kuhusu mambo ya mimba na magonjwa
 
Wakati tunakula, ameanzisha maongezi yeye mwenyewe kwamba wali unamshinda. Nikapata nafasi ya kuanza kumuuliza kiutani (huwa ninamtania) kwamba ni nani mwenye bahati; akaguna. Kisha nikamuuliza huyo mtu ameshajua, akanod; nikamendelea kumprobe amesemaje, akainama huku machozi yakimlenga; nikamuuliza amekwambia muitoe? akasema ndio.
Nikamuuliza kwanini, akasema hajajiandaa na kwamba anaishi kwao bado (ni dreva wa mtu binafsi).

She is into deep thinking naye anawazia kuitoa, kisa hataweza kufanya kazi na hivyo ataishije. Baada ya kuongea naye sana, anasema mama wa huyo kijana ni nurse; nimemwambia nikirudi nitaongea naye, lkn bado ni mnyonge nafikiri akili yake kubwa iko kwenye kuutoa huo ujauzito. Ngoja niendelee kumcouncil, nipo naye hapa chumbani ananiuliza kwani akitoa atakufa.
 
Nimerudi juzi, jana nikampeleka govt hosp; majibu ya mkojo na vaginal swab yalikuwa okay

Hivi hiyo hapo kwenye red ndio ile unaingizwa lidude ukeni halafu wanachukua vaginal fluids wanaenda kupima?.,nauliza tu maana natamani kuwa Gynaecologist
 
Usimtupe huyo mtoto wa mke mwenzio msaidie azalie kwako hapo hapo
 
Pole kwa hilo lililokukuta,pia nakupongeza kwa uamuzi uliochukuwa wa kuongea naye na kumshauri..Endelea kumshauri ili asiitoe hiyo mimba..na umueleze madhara yote ya kutoa mimba.Mungu atakubariki kwa hilo.
 
Pole kwa hilo lililokukuta,pia nakupongeza kwa uamuzi uliochukuwa wa kuongea naye na kumshauri..Endelea kumshauri ili asiitoe hiyo mimba..na umueleze madhara yote ya kutoa mimba.Mungu atakubariki kwa hilo.

Amina! Hopefully hatafanya chochote while l am away!
 
pole Kaunga, mpe moyo akae sawa.

Ungekuwa na muda ungemwita labda na kaka aliyempa mimba.

Thank God sio cousin wako.

Yaani ungekuwa na mapigomoyometer, wakati namuuliza ni ya nani nafikiri speed ya boda boda ni cha mtoto. I am glad my cousin alibehave (nilimtumia ndugu mwingine kumuwarn about my dada wa kazi).
 
Hiyo inaonyesha na yeye ni binadamu wa kawaida teh teh teh. Erotica, come quickly and advise Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inaonyesha na yeye ni binadamu wa kawaida teh teh teh. Erotica, come quickly and advise Kaunga

I know my dearest, simlaumu sana namuonea huruma for what she is going through right now. Apart from being weak with pregnancy lkn hata response ya huyo mwanaume imemmaliza pia!
 
Last edited by a moderator:
Duh, nimeishiwa maneno.............
Hebu ngoja nifuatilie maoni ya wenzangu, labda naweza ambulia pa kudandia
 
POLE sana.hapo lazima uhusike kuubeba mzigo.hukuweza kumuasa mdogo wako juu ya huyo hg kuwa ni mapepe kwan ulishajua kuwa anatega.hizo ulikuwa unaleta lawama tu kwa dogo.ee ndo matunda ya kuachia uchi bila mpangilio mwache avune matunda.sisi wanaharakati tuko nyuma akitoa tunasweka ndani.
 
I know my dearest, simlaumu sana namuonea huruma for what she is going through right now. Apart from being weak with pregnancy lkn hata response ya huyo mwanaume imemmaliza pia!

Vijamaa vinataka kumaliza hamu zao tu. Hawataki mambo ya kuletewa mizigo. Pole yake tu
 
Back
Top Bottom