Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

sio thambiii kama baba yake analipa!!!ila contaact plz nijisongezee na familiaa labda namimi ntanufaikaa
 
Mimi sioni tatizo RA kutumia pesa yakealioipata kusomesha watoto wake hata kama ni billions of money kwa sbb kila mtu hutafuta pesa kwa ajili ya familia yake nafikiri hayo ni matumizi bora ya pesa katika familia ku invest katika elimu na sio lazima afanye kazi kwa mtu she can create something good for the benefit of national huwezi jua kumuhukumu mtoto kwa makosa ya baba ni kukosa maarifa kabisa na CCM wanalijua hilo ndiyo maana hukumu ya makamba hakupewa JAMUARY au hukumu ya uhuni wa watoto wa mzee kingunge kina KINJE ajavishwa baba yao mzee kingunge kwa hiyo tumuombee tuu huyo mtoto apate elimu nzuri si ajabu akawa bora kwa taifa hili.
 
mbona binti mmoja katika hizo picha ambaye ni ramla rostam aziz nimemuona kwenye facebook lakini hana uhusiano na familiya ya rostam aziz hata pia profile lake kama ni fake means siyo halisia.....acheni uongo!
 
Duh kaazi kweli kweli ila ndo kazi ya pesa hiyo. Mi ntajitahidi nioe binti mmoja wapo kati yao labda mavumbi ya ufisadi takanipitia nikapata maisha bora. Ha haaaaa.
 
nimempenda huyo binti wa pili, mrembo. waacheni watanue pesa za baba yao ni bussines man.
 
Daily wajinga ndio waliwao kama mnampa deal wenyewe kwa nini asile vichwa
 
Nawashangaa watu mnachokonoa maisha ya watu badala ya nyie kutafuta hela muwasomeshe watoto wenu shule za bei gali!!

we nata yaonekana una ukoo na Rostam maana hapo kwenu Nata Nzega mlitawaliwa sana na wabulushi na waarabu, na wewe nadhan u m1 wa wanaofaidika na mikate ya Rasulbakshi wa nzega na mchele wa mponya hivyo sioni ubaya ukimfagilia Rostam.
 
Kumbuka mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake, hata kama ni ndani ya shamba
 
attachment.php


huyu binti ni mzuri anafaa kuwa mke, nahisi tabia na mengine pia ni mazuri kama anyoonekana mrembo. Kwa hili nampa hongera RA kwa kuwa na binti mzuri hivi
 
Very guuud

Atakuwa anapata elimu nzuri aje kusadia TAIFA LAKE TAnzania

Hawa huwa hawarudi wanapotelea huko huko baada ya kula hela yetu wadanganyika; na ndio maana hata baba zao wanaficha hela zao nje!
 
Potelea mbali!! Ila co siri,RA ana vibinti vizuri jamani. Ukikitaka ki1 kwa part time cjui utaingia na gia gani hapo?!
 
attachment.php

Binti mwingine wa Rostam anayesoma South Africa Ramla Rostam Aziz...

Soma attached PDF hapo for Academic fees and other associated costs in Swiss Franc

Huyu hapa ndo my concern, mtoto mzuri mash'allah! hakyanani nisije gonganisha naye hata macho tu, maana lazima kieleweke..!
 
Kwani huyo bwana ana wake wangapi kwani mmoja namuona burushi na mwingine kama damu ya kimatumbi imepitia humo,na mwingine tulisikia ndie alimbaka binti wa comrade Mugabe huko Malasyia,ajabu huoyo wa kiume anatumia jina la kikristo au ndio alias hizo za kuficha asijulikane mtoto wa FISADI nambari wani TZ?
 
daaah,wakati wadogo zang wanasoma shule ya kata darasa zima kuna madawati 5 af wapo wanafunzi 70. Kweli hatufanani kama vidole vya viganjani
 
Back
Top Bottom