Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

Status
Not open for further replies.
kameshapima? Kasitultee vibalaa vya huko Kampala tunajua kalivyokuwa kanagawa uroda. Ze utamu ? Dr. Sio jina la kutapika kama vile. Sh***nz type.
 
attachment.php


attachment.php


hivi wewe katoto una akili kweli?


Slaa alisema JK aliiba kura mbona hakubisha?
Slaa alisema tunataka katiba mpya Mbona JK amesalimu amri?
Slaa amesema kuwa JK ndiye mwenye Richmond mbona hajabisha?
sasa wewe ndiye msemaji wa JK? shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! acha wanaojua kusema waseme.
 
Maslahi ya wagawana nchi yako mashakani maana trend ilivyo sasa ni kuachiana watoto, wajukuu na vitukuu. Katiba mpya inaweza kuvuruga hii formation ikala kwao.
 
Haya ndio yaliyopo kwenye status yake FB ikifuatiwa na shutuma kali dhidi ya Dk Slaa bila kujali maisha duni ya TZ.

Violet Mzindakaya:"Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa......."

Bint tuliza boli,muda wa wewe na baba yenu wa kutesa umeshakwisha hata kama utajikomba vipi haisaidii, Omba kazi TIB( Tanzania Investment Bank) yawezekana wakakupangia kazi kwenye kiwanda cha nyama cha baba yako pale Swanga ili umsitiri baba ako,maana kiwanda kipo chini ya TIB ili kidhibiti marejesho ya fedha aliyokopa babako kule BOT( Bank of Tanzania). Take care baby.
 
We Dar es Salaam acha unazi! kama Dr Slaa alisema uongo JK ndiye anayestaili kwenda mahakamani kwani amezushiwa then amtake Dr wa ukweli yaani Slaa ajekuthibitisha.Hapa Slaa kaishika pabaya Ikulu.Haka kabint kana mawazo mgando akajui nini kanachonena!
 
malaya mkubwa huyo tangu akiwa uhuru publications.

Hana lolote huyo binti mlalahoi tu, hata babake amemtosa sababu hajatulia kabisa. Huyu si aliachika kwa mumewe muda mfupi tu baada ya kuolewa kwa kuwa hana adabu kabisa. Msimjadili sana humu mtampandisha chati tu changudoa huyo!

[white prt london
white+paarty+2.jpg
white+party.jpg

...character defamation/slandering. kuna tofauti gani aliyoyasema huyu binti na haya mnayoyaanzisha. Badilikeni wakuu..

 
Nguruwe apite tuuuu, leo SINA MKUKI.


167150_134900266571808_100001555070854_208549_4370226_n.jpg
47629_133058880089280_100001555070854_196666_2323048_n.jpg


Anavyosema huyu Mamaa aliyemaliza Kampala University mwaka jana:

++>> Ung"are peke yako Dk Jakaya Kikwete na wabunge wote kutoka chama kinachoeleweka CCM Oyeeeeeeeeeeee

++>>narudia tena faraja kwa hiyo kweli una uhakika Mh JK anamiliki dowans??????na umeshasema serikali hapa ni vitu tofanauti kaka,hapa ni tuhuma kwa Rais mwenyewe si serikali sasa labda mwenzetu ulipata bahati yakuoa alikosaini saini...naona Bw Silaa alikuonyesha kidogo tuambie na ataach kwenye email yangu36 minutes ago

++>>Tukichekea haya ipo siku nanyi mtakuja kuwa viongozi humu ndani alafu unasingiziwa kitu kama hicho,tatizo tunasahau kuwa Mh JK nayeye ni binadamu,tunamuona kama kuwa Rais hivi hana hisia nayeye minakwambieni amshukuru kweli ingekuwa Uganda angeona chamtema wa kuni

Tumhurumie huyu nditoo, amezoea kula mayai na kupanda magari ya baba bila kujua ukweli kuwa ni mchango wa Dr Slaa na wapambanaji wengine.
Kusoma kwake Kampala ni zero na hana elimu alopata.
Afunge hilo bakuli.
 
...character defamation/slandering. kuna tofauti gani aliyoyasema huyu binti na haya mnayoyaanzisha. Badilikeni wakuu..


Ni hasira hizo mkuu hawana njia nyingine ya kumwoshesha sister V chuki kwa kauli yake ya kipuuzi. Naangalia kwa raha Fulham na WBA
 
...character defamation/slandering. kuna tofauti gani aliyoyasema huyu binti na haya mnayoyaanzisha. Badilikeni wakuu..


Na yeye mbona karuhusu Dk Slaa kuchafuliwa mbaya kupitia FB yake huku akishangilia na kulike kila anaemdhalilisha Slaa. She deserve it siku nyingine hatarudia kujidai msemaji wa Kikwete na kuchafua wapinzani wakati watu tuna machungu na mabadiliko ya hii nchi.
Yeye ndio kaanza cjui alitumwa, next time hatathubutu. Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom