Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Mambo wana JF,mitambo ilinipoteza kidogo nimerudi kama kawa jamvini!!!
Ni juzi tumetoka kumzika Binti wa miaka 5 ambaye kifo chake kimetokana na maambukizi ya VVU, Kinachosikitisha zaidi wazazi wa huyu Binti wamepima mara 10 baada ya kugundua Binti yao mpendwa ana maambukizi ya VVU ili wajue kama walimwambukiza wao.
Cha kushangaza wote hawakuwa waathirika,baada ya uchunguzi wa kina ikagundulika aliyemwambukiza ni HOUSEGIRL wao!!!! Huyu HOUSEGAL anasema alikuwa akitumia wembe kukata kucha kwa bahati mbaya akajikata, baadae yule Binti nae akchukua the same wembe akawa anauchezea akawa kajikata.
Hivyo ndo alivyoambbukizwa Binti huyu VVU hadi mauti ikamfika!!!Pls wazazi sijui 2tawalinda vipi watoto wetu kutokana na huu mkasa coz 2nakuwa bizzy kuanzia asubuhi hadi jion. Naomba maoni yenu JF!!!! Pamoja