Binti wa miaka 11 ajifungua salama

tatizo hapo ni ujinga kwamba elimu hakuna ni 0 na ubini wake ni lowasa ina maana ni mmasai kweli kazi sana jamii hii na zingine za wafugaji inabidi ziinuliwe ili waletewe mabadiliko kwa karne ya sasa
maskini ka binti ka watu!!!
 
hii imekaa kidaku zaidi, sina uhakika kama ametumia jina vizuri, kwanini asitumie jina la mme wake, kama desturi yetu wadanganyika?au aseme " mtoto wa miaka 11 ajifungua mtoto",ila kwa kuuzia gazeti, jina la lowassa litafanya gazeti kuuzika mara moja.!
 
Back
Top Bottom