Binti wa kuuza duka la dawa anahitajika

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
Nahitaji binti wa kuuza duka la dawa, lipo tegeta kwa ndevu

Anicheki awe na cheti cha TFDA, I mean ADO ni muhimu sana. Mshahara tutaongea nae kabla hatujaanza kazi.

PM me please.
 
Ok, kwa wale wenye ujenz Mr aluminium and glass yupo kwa ajir ya ujenz bora wa madirsha na milango, partition call +255 654 069 041/+255 744 722 526
 
Mimi pia namtafuta binti wa kuuza duka la dawa, eneo liko mivumoni. Awe amesajiriwa tfda.
 
Back
Top Bottom