Binti wa kihindi ananitesa...

Duh we kweli gazeti. Tumia gazeti kumtokea, unampelekea gazeti halafu unamwandikia maneno humu ndani
 
Duh kweli JF balaa.. Hilo duka ni computronix huyo dada nadhani ni tabia yake. Anawaminyia jicho ili mshindwe kunegotiate bei tu nothing more!!

Kama we uliminywa huko basi hilo ni duka lingine lina tabia hiyo
but nimependa si kwa sababu ya kuminywa upo bonge?
 
Duh kweli JF balaa.. Hilo duka ni computronix huyo dada nadhani ni tabia yake. Anawaminyia jicho ili mshindwe kunegotiate bei tu nothing more!!
Jamaa atakuwa keshanunua hard disc zisizo na kazi zaidi ya kumi na atakuwa kafirisika tayari kuminywa kidole tu sasa akikukonyza jicho kisha akuambie ana shida ya million mbili si utaenda kuiba
 
Kivipi? Sijakuelewa Kongosho!

Ana mana kadelete hiko kipande/komenti uliyoelekeza alipo huyo binti unatupa majaribu ya kwenda kumfuata,hatimae utakuta umezidiwa kete na wajanja wa humu jf,
 
Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua
External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono
wangu

Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi
wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa
kumuondoa mawazoni imeshindikana........ Yule akicheka kuna vishimo vile
kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau.
Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada.
Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.


Kariri lyrics za Kuch kuch o tae!! mzee hapo inawezekana au co.
 
Umemtamani mhindi; kwa kuwa unavutiwa nao. Inawezekana kabisa ni hisia zako tu ukadhani kakuminya mkono. Tuliza akili kijana ujiridhishe kama kweli ana nia na wewe. Endelea kumtembelea hapo dukani na ukiona haonyeshi dalili zozote ujue ni tamaa zako tu. Na kama ana nia na wewe kila kitu kitaenda vizuri tu.
 
Dogo huyo mpelekee uwa na mkufu wa dhabu kama siku ya pili hujala halua ya kihindi...hao pesa iko mbele kuliko kitu cochote.
 
Pale nenda ukamwambie.."kuch kuch hota hai, meri kasam yo lardhi kye, jismi hordaagaya cheuro margeya'' hapo unabeba mzigo mkuu
 
Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono wangu

Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa kumuondoa mawazoni imeshindikana........

Yule akicheka kuna vishimo vile kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau. Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada. Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.

Unajua kuimba
 
Jitaidi kaka bt hao kuwapata ngumu kutokana na unyanyapaa wao kwa ngoz nyeusi na hata akikupenda yeye utaambulia ugirlfriend na boyfrnd 2. Ukijitaidi sana ni mate na kupewa tigo cause hao wanatakiwa waolewe wakiwa bikra.

Ngugu yangu usijalibu kula Tigo ya kihindi si unajua wale jamaa kwa pilipili?jaribu uone moto.ushawai guswa na pilpili ktk ngozi laini?utaungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom