Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

Mkuu FM,
Nadhani unafatilia bado hii habari.
Juzi nimesoma article furani sikumbuki gazeti gni ila Bint anaweza kushitakiwa mwezi wa kwanza ikiwa atakutwa na hati na ushahidi ukidhibitika.Stay tuned

Kushtakiwa nchi gani? Tanzania? Hiyo ni ngonjera tu! Nothing will happen. Tusubirie hiyo Januari kwa maandiko haya yatimie!
 
Hii kesi naona imeisha! Fatma ameshapewa tarehe na hakimu mpya, mwendo mdundo! Mi ninachokazania hapa ni umuhimu wa kutokomeza rushwa! Masuala ya discipline eti kwa mahakimu, kama wao hawajiheshimu kwa kuombaomba rushwa, sasa kwa nini wakili au wananchi wawaheshimu! NO! Fatma hastahili adhabu yoyote! Na hiyo Tanganyika Law Society nao ni bogus tu! They are cowards! Wala hawako tayari kutetea wananchi as long as they make money.
BTW, Fatma hakusema kwamba yeye aliombwa rushwa bali ni client wake ambaye alimweleza wakili wake na yeye Fatma alimshauri kesi ipelekwe PCCB! This is true! Sasa mengine eti ya 'kumfokea' mi naona is nothing compared to corruption!
 
Usemayo ni kweli ila tu kutokana hapa watu wali rise issue kwamba "eti kwa sababu Fatmah ni mtoto wa Rais ndio maana amemfokea hakimu na hiyo si haki yake"
Tusubiri baada ya kuonekana ni kweli hakimu aliomba rushwa na Fatmah kamfokea ,hakimu atafanywa nini na fatmaha vile vile.
Ungejaribu kufatilia post za nyuma ungeona hii
 
Nilijaribu kufuatilia nimeona, lakini ninachosema ni kwamba kesi zote mbili za hakimu na Fatma zitaishia kiaina. Both or all parties wameona na kutathmini and nothing will happen. Hata hiyo kesi ya huyo hakimu nitashangaa kama tutapata habari zake tena! Fatma hawezi kuchukuliwa hatua maana najua kwamba ana makombora mengine ya kurusha, wakimprovoke atayarusha kweli!
 
Readers are plentiful; thinkers are rare.

I SALUTE YOU,MKUU
 
jamani i am really proud to be a Tanzanian look at the way our president is photogenic amependeza na hawa jamaa wa Boys II Men.
 
Attachments

  • Boys_ii_Men_with_Kikwete%5B1%5D.jpg
    Boys_ii_Men_with_Kikwete%5B1%5D.jpg
    12.3 KB · Views: 75
Usemayo ni kweli ila tu kutokana hapa watu wali rise issue kwamba "eti kwa sababu Fatmah ni mtoto wa Rais ndio maana amemfokea hakimu na hiyo si haki yake"
Tusubiri baada ya kuonekana ni kweli hakimu aliomba rushwa na Fatmah kamfokea ,hakimu atafanywa nini na fatmaha vile vile.
Ungejaribu kufatilia post za nyuma ungeona hii

Mkuu, naona hututendei haki. Tulichokisema ni kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kumtishia, kumsemea ovyo, kumfokea hakimu akiwa anaongoza kesi, si Fatma Karume, Si Sanda Matuta, si Fundi Mchundo. Inabidi hasa wale wanaoitwa learned people ndiyo hasa waheshimu taratibu za mahakama. Hii ina'hold' hata kama unajua hakimu ni mwanga, mlevi, mgoni,kibaka,hajui kuvaa, umemzidi urefu,anajisaidia kitandani, anakula rushwa n.k. Kwenye mahakama yake inabidi aheshimiwe. Kama umekosa imani naye kuna taratibu za kuomba ajitoe kusikiliza kesi yako. Hivi ndivyo ilivyo duniani kote. Naona hata Attorney general ameligusia suala hili. Naona tusubiri matokeo yake. Mimi sitashangilia kama wakili msomi ataadhibiwa. Nitasikitika tuu kuwa jamii yetu imefika hapa tulipo.Suala la mahakimu kula rushwa sote tulilikemea. Hakuna hata mmoja anayefurahia jambo hilo. Kama hakimu atathibitishwa kuwa aliomba rushwa, aadhibiwe.
 
Itakuwa Jambo la Ajabu na la kushtusha kama Chama Cha mawakili (TLS),Hakitomchukulia Hatua huyu Dada,ambaye amemdharau Hakimu na Kudharau Mahakama.Inawezekana kabisa alikuwa anatofautiana na maelezo ya Hakimu,lakini kitendo chake cha kauli za dharau,na ukali ni kuivunjia Heshima Mahakama na Watendaji wake.Ni wazi kabisa sheria itachukua Mkondo wake dhidi ya Advocate Fatma.
TLS ya sasa ndio imeshatiwa mfukoni
 
Napata wasiwasi kuwa mahakimu wetu huendesha mambo kimazoea. Wakikutana na malawyer watata wanashindwa kuendana nao.
 
Hii kesi naona imeisha! Fatma ameshapewa tarehe na hakimu mpya, mwendo mdundo! Mi ninachokazania hapa ni umuhimu wa kutokomeza rushwa! Masuala ya discipline eti kwa mahakimu, kama wao hawajiheshimu kwa kuombaomba rushwa, sasa kwa nini wakili au wananchi wawaheshimu! NO! Fatma hastahili adhabu yoyote! Na hiyo Tanganyika Law Society nao ni bogus tu! They are cowards! Wala hawako tayari kutetea wananchi as long as they make money.
BTW, Fatma hakusema kwamba yeye aliombwa rushwa bali ni client wake ambaye alimweleza wakili wake na yeye Fatma alimshauri kesi ipelekwe PCCB! This is true! Sasa mengine eti ya 'kumfokea' mi naona is nothing compared to corruption!
Mkuu wewe ndio umemaliza kila kitu kumbe Fatma ni kichwa bora
 
Back
Top Bottom