Binti uliyetayari njoo uwe mchumba wangu hatimaye mke!!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,912
BINTI ULIYETAYARI NJOO UWE MCHUMBA WANGU HATIMAYE MKE!!

Sifa stahiki:

1. Elimu ya chuo ngazi yoyote.
2. Mcha Mungu Dini Yoyote.
3. Msikivu.
4. Asiyependa Kujikweza kwa matumizi yasiyo ya lazima.
5. Anayependa kujishughulisha, kwa shughuli yoyote.
6. Mwenye mitazamo chanya.
7. Aishie Dar es salaam, au aliyepo tayari kuja Dar.
8. Umbo zuri na uvaaji wa heshima.
9. Asiwe na weupe wa kujichubua.
10. Aliye tayari kwa Ndoa.

PM zote zitapewa kipaumbele , hasa hasa mabinti mnaoishi dar na Arusha.

Mimi ni mfanyakazi ninaishi hapa dar, umri wangu ni 29, binti asizidi 27 yrs.

Karibuni!!!
 
Back
Top Bottom