Binti mwenye hekima hufunika ''chakula'' chake mwenyewe kwa ubora wa afya yake!

herbsman

Member
Apr 29, 2011
81
57
[h=5]70% Ya Mabinti wasomi; ndiyo wavaa nusu uchi ama vichupi hadharani na kuvifanya nguo ya kutokea. Elimu waliyoipata ni janga kwao!

80% Ya Mabinti wasomi; Wanapenda,
1. Ukahaba,

2. Wakipata waume wanawatumia kama ngazi kwa mahitaji yao,

3. Wakiolewa hawadumu katika ndoa zao,

4. Hawanyonyeshi watoto wao mara wazaapo, kwa madai watajizeesha na watoto hukosa maziwa ya mama kwa kupewa maziwa bandia.

5. Wanatamaa ya maisha.

6................
7...............
8...............
9...............
10. Ndiyo chanzo cha jamii kukosa maadili maana jukumu kubwa liko mikononi mwao!

Leo tuangalie upande huu wa Mabinti ambao ambao mabadiriko makubwa yanayoikumba jamii kwa sasa wao ndiyo njia!

Don ask me why? How?......kagua ufahamu wako jipime kisha songa mbele,
[/h]
 
hii research yako umefanyia wapi? Weka source tafadhal ucweke uzi wa kuchafua mabinti wasomi hapa
 
hii research yako umefanyia wapi? Weka source tafadhal ucweke uzi wa kuchafua mabinti wasomi hapa

research!! Hil halmhtaj mtu msomi kuliona hata asiyekwenda shule kabisa anatambua kuwa zaidi ya 95% ya wanawake wasomi hawafai kuwa wake bora, naamin ukwel unaujua bt unajfanya huelewi. Guys kama unataka kufa mapema na kwa mapresha oa mwanamke msomi uone.
 
huku swahilini ninapoishi......
*Mabinti wanavaa vyema na kukistiri kanga saba saba.......

Ila :-
1. Hawachagui mwanaume
2.ukiwa na gari hata kama ni dereva tu umempata
3.kuchukuliana wanaume ni jambo la kawaida
4.sh 2,000 anakuachia ugonge kavu kava......
5.kufumaniwa kawaida
6 atawapanga kama mafungu ya nyanyachungu/ngogwe
7.hachagui hata uchochoroni mna,alizana anaenda.....

Ndugu mheshimiwa sana.....

Jukumu la kulinda maadili lipo mikononi mwa wanawake na wanaume..........

Mwanamke ana haki ya kuvaa atakavyo.....

Mwanaume ana haki ya kuvaa atakavyo.......

Ni jukumu la kila mmoja bila kuangalia jinsia kulinda maadili......
Jukumu la kila nafsi kufunga zipu yake.......
Tamaa za kingono hazina mahusiano na nguo, tunaona watu wanavaa ninja na wanaachia mzigo.....

Jukumu la mwanaume kufunga zipo na jukumu la mwanamke kubana miguu.....vingine vyoooote ni visingizio vya kitoto tu vya jinsia moja kuilaumu jinsia nyingine.....

Hakuna wasafi,
jisafishe mwenyewe.....

Then kila mmoja atakua safi.....
 
inafurahisha kuona mwanaume anatafuta mke bora, wakati mwenyewe si mume bora...... Ndege wafananao huruka pamoja.....

Mke hatafutwi kwa kuwa msomi au hajasoma.....

Anatafutwa kwa kuangalia tabia........

Hao wasiosoma huku mtaani wanafelembwa na kila mtu buku mbili tu ya fungu la dagaa unampata bado utasema mke bora?

Elimu si kigezo cha kutafuta mwenza......
 
Uzoefu wangu unanionyesha kuwa wavaa ninja wengi ndiyo makahaba wa kutupwa. Ushahidi mdogo ni kwamba hawaruhusiwi kuwa na mtu ambaye si haramu yao bila kuwapo mtu mwingine. Hii maana yake ni kwamba ni jiko la mchina. Hata ukienda uarabuni hili ndilo tatizo lao kubwa ngono ngono ngono ad infinitum. Hili la wasomi inategemea na usomi wa mtu na maadili ya mtu. Kwanini wanawake wajifunike na wanaume wasijifunike? Kwani wanawake hawawezi kuwatamani wanaume?
 
Mimi jaman kigezo cha elimu bado naamini kinachangia sana kuwaharibu hawa wadada. Hebu kumbuka enz za mababu zetu ambako mtoto wa kike akisoma sana la saba mwisho, maadili yalikuwepo na ndoa zilkua znaheshmika, heb angalia sasa iv.
 
hii lazima ni TROLL thread, haiwezekani mtu adai kwamba elimu inaharibu maadili. mtoa mada atakuwa katoswa na binti msomi hivyo kaamua kuja kuchafua hapa.
 
hii research yako umefanyia wapi? Weka source tafadhal ucweke uzi wa kuchafua mabinti wasomi hapa

Mke wake hajasoma nadhan, ana gere na wasomi wetu!!! Preta wangu kaenda shule na digrii zake, lakini mbona kwangu mie raha tu?!!!
Wapo ma bidada wachache wasomi wa hovyo, na wapo wengi wasomi wameiva kweli kweli!!! Hivyo si busara kuwahukumu wote kwa upuuzi wa wanadada wasomi njaa wachache!
Upuuzi tunaouona kwa wadada wetu si sababu ya usomi wao, kwa maoni yangu ni reflection ya malezi ya hovyo ya wazazi wao/wetu!!
 
Preta njoo umwambie huyu mleta thread kuwa mpo wengi mlosoma na mnathamini ndoa zenu, na umwambie sie tuna miaka miangapi kwa hii kapo yetu! Nimekumis sana wife Lol!! moyo unanienda mbio
 
Wahishimiwa sana dada zangu,
If I may,naomba kumbail out mtoa mada...
Its really very important that you dress properly kwa sababu kaka zenu tunashawishika sana tukiwaona mnavyodress kihasarahasara jamani. kweli mtuonee huruma tunateseka sana kukwepesha macho kila mahali!
Hivi how hard can that be?????????????????
:noidea:

hii research yako umefanyia wapi? Weka source tafadhal ucweke uzi wa kuchafua mabinti wasomi hapa

huku swahilini ninapoishi......
*Mabinti wanavaa vyema na kukistiri kanga saba saba.......

Ila :-
1. Hawachagui mwanaume .....[nakuendelea]..

ususomeshe binti yako.
 
hivi kwanini shu ya tamaa kwa wanaume wengi iko subjected eti kwenye mwenendo wa mdada? hivi kwanini wanaume hukimbilia eti mnatutega? kwani nyie hisia zenu ziko machoni ama zipuni? mbona wanawake hata wakiwaona na vikaptula hatushtuki? acheni kujiendekeza bana tamaa hukaa akilin mwa mtu na kama utaitumia akili yako vyema huwez kutamn hovyo
 
My boobs needs some air na sun bath

Your mind has to control your body - Master wa John English kule alikoenda kufanyiwa mazowezi sijui China au Korea Magharibi

(Huwa ninavaa ninja )

Wahishimiwa sana dada zangu,
If I may,naomba kumbail out mtoa mada...
Its really very important that you dress properly kwa sababu kaka zenu tunashawishika sana tukiwaona mnavyodress kihasarahasara jamani. kweli mtuonee huruma tunateseka sana kukwepesha macho kila mahali!
Hivi how hard can that be?????????????????
:noidea:
 
huku swahilini ninapoishi......
*Mabinti wanavaa vyema na kukistiri kanga saba saba.......

Ila :-
1. Hawachagui mwanaume
2.ukiwa na gari hata kama ni dereva tu umempata
3.kuchukuliana wanaume ni jambo la kawaida
4.sh 2,000 anakuachia ugonge kavu kava......
5.kufumaniwa kawaida
6 atawapanga kama mafungu ya nyanyachungu/ngogwe
7.hachagui hata uchochoroni mna,alizana anaenda.....

Ndugu mheshimiwa sana.....

Jukumu la kulinda maadili lipo mikononi mwa wanawake na wanaume..........

Mwanamke ana haki ya kuvaa atakavyo.....

Mwanaume ana haki ya kuvaa atakavyo.......

Ni jukumu la kila mmoja bila kuangalia jinsia kulinda maadili......
Jukumu la kila nafsi kufunga zipu yake.......
Tamaa za kingono hazina mahusiano na nguo, tunaona watu wanavaa ninja na wanaachia mzigo.....

Jukumu la mwanaume kufunga zipo na jukumu la mwanamke kubana miguu.....vingine vyoooote ni visingizio vya kitoto tu vya jinsia moja kuilaumu jinsia nyingine.....

Hakuna wasafi,
jisafishe mwenyewe.....

Then kila mmoja atakua safi.....

Umepatia kote lakn hapo kwenye red sidhani...Hao mabinti wa huku uswahilini kwetu wanavaa tight na vibukta kama hawana akili nzuri..Na siku hizi vipo vingi kwenye mitumba ndio balaa.
 
Bora wote tusivae! tutazoeana na itakuwa poa tu. Kuliko kutamanishana kwa kuonyesha maeneo mchache2, maana kitu ukikiona kizima hamu inaisha yenyewe tu.
 
Back
Top Bottom