Binti mmoja

kuna watu wako jela wamefungwa maisha
kuna watu wamepata ajali wamekuwa walemavu milele
kuna watu wamefukuzwa kazi na wana familia zinawategemea
kuna watu wanaugua magonjwa yasiyo na tiba


wewe unaogopa kupigwa kibuti? yaani hiko ni kitu cha kuwasimulia watu kuwa ni tatizo?
Keshakwambia yeye ni Mtoto Yatima,umeelewa sasa mkuu?
 
Yan we wawapi me mwenzio jana tu nimetoswa na leo naenda tena.

Usitegemee mteremko ndugu na hata kwambia kama ana kupenda!

We leo mwambia unampenda na husitegemee akubali hapo hapo ! Endelea kutengeneza mazingira lazima akukubali, usiogope mkuu!
Na huyo wako lazima aingie king i promise u! Fanya fast
 
Jamani kuna binti ambaye nimetokea kumpenda sana kupita maelezo, tunachart facebook na pia kwene simu sana tu ki ukweli kwa upande wangu naona amekidhi viwango but nimeogopa kumtongoza kwasababu nahohofia akinitolea nnje itakuweje nataman sana kuwa naye bt nikifikiria suala la kuambiwa tena your late ninaona itaniumiza sana.
Nilisha wahi kuonana naye face to face mara moja tu .plse naomba msaada wenu.
Cha udomo zege mkuu, utamu wa ngoma lazima ucheze, kupigwa chini au kukubaliwa ni matokeo
 
heeh, sasa siku zote hizo huwa mnaongea nini? rocket science, nuclear physics, mgomo wa madaktari or what? jipange kijana.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom