Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,676
- 5,024
Huyu mdada kwa ufupi has shown herself to be extremely arrogant na isitoshe kuwa ni mshamba mkubwa. Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton, haswa ukitilia maanani mdada alikuwa ni sauti kubwa ya Vodacom kwenye masuala ya kijamii kama Charity Work na shughuli za misaada kwa Wahanga, Yatima, etc
Pia kwa mtu mwenye high-ranking status kama yake kikazi ni muhimu angewafikiria co workers walio chini yake, kwani this kind of self-aggrandizement and seemingly opulent display would only have a negative, demoralizing effect on co workers.