Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.
she looks so lovely with her daughter Malaika.. matunda ya familia bora hayo si ya mishahara ya vodacom,, anapewa pocket money na baba yake as long as mshua pesa ipo so mwache ale raha, afikirii matofali wala kiwanja kwa nini ajibane,, jamani wadau na sisi tujitume watoto wetu wa enjoy,,

This is a statement which is expected from the great Thinker. Cheers up my brother.......
 
Uchumi umeukalia miguuni mwako.....kwani huuoni?? jaman na wewe unakuwa mtoto kiasi hicho? wewe si ni great thinker??
Umeandika "Mmmekalia uchumi wenu...utumieni mkakae kwenye hotel nzuri,..mwenzenu anatumia vizuri" Unatupa impression kwamba wa kwako huko richabo, sasa watu tukianza kubipu unakuwa mkali tena! Nina wasi wasi kama unaelewa hiyo statement yako inatoa tafsiri gani.
 
Nelewa nilichoandika....nahisi bwana/bibi Babu M ndo hujanielewa......nilimaanisha ulipewa bure ukakitumie bure kama anavyofanya mwenzetu huyu
 
kaaah!!nakumbukaaa zamanii nikisomaa nae..nilikuwa na mpigaa ma kweziii,alikuwaaa hana mvuto kabisaaa.now na mtamaniii ilaa hatanikumbukaa nilivyo paukaa huku sanyaa juu nalimaaa viazii we achaa tu
Hahahaaa...... Chief, kama vipi muibukie na TULISOMA WOTE KIDATO KIMOJA.......... wewe ni yule yule
 
mwenye picha ya nyumba yake na picha ya gari lake analotumia tafadhali aweke tusaminishe tuone kama kajijenga kweli au kuuza sura tu...
Au details kuhusu hivyo vitu
 
mwenye picha ya nyumba yake na picha ya gari lake analotumia tafadhali aweke tusaminishe tuone kama kajijenga kweli au kuuza sura tu...
Au details kuhusu hivyo vitu
Ningekuona wa maana kama ungeuliza Bank statement, nyumba wanakimbilia kujenga watu Maskini wasiokuwa na uhakika na kesho yao, watu wenye pochi anaangalia ni appartment gani nzuri ya kuishi Masaki. pesa ndio mpango mzima.
 
ningekuona wa maana kama ungeuliza bank statement, nyumba wanakimbilia kujenga watu maskini wasiokuwa na uhakika na kesho yao, watu wenye pochi anaangalia ni appartment gani nzuri ya kuishi masaki. Pesa ndio mpango mzima.

no bank statement sio inshu imekaa ki shushushu zaidi na kuijua ni msala ila wenye kujua watatusaidia sisi kama ctu na wakachaaaa tunaulizia nyumba na gari coz zimekaa ki celebrity na mwamvita ni kinda celebrity
 
Jamani sasa hela zake hazina kazi afanyaje? si wewe unakuta unandugu kibao wanaokutegemea nyuma huku. Lakini ujanja ni kuinvesti tu siku hizi achana na kupiga mipicha na kuijaza interneti eti uonekane unakula good time na unazo. Hebu nenda kaangalie kijijini kwake huyo utakuta ndo masikini wa kutupwa.
 
Kama mtu wa Public Relations kutoka nchi masikini kama Tanzania, Mwamvita Makamba ameonyesha poor judgement kuji-parade katika namna inayoonyesha disparity ya maisha kati ya walio nacho na wasio nacho Tanzania.

This self exposing tactless and simply tastelessly tacky parade, whether intended at lording it over those who worship consummerism and showism or a genuine lack of judgement from a partying airhead, could only be celebrated by imprudent charlatans, not the genuine articles of Public Relations.

I have never seen, say, a Franklin Mziray parading himself like that, not that Mr. Mziray doesn't know how to party and shop and have a good time. And Mziray is not even the beacon of responsibility, just to show you how embarrassing this woman -she of holding Miss Tanzania contest on the day after a national disaster infamy- is to the profession and her cadre of Tanzanian women.

U-Turn of all places? Just goes to show you how lacking our collective talent pool is.

Oh, wait. What am I talking about? She did not even get where she is because of talent, rather, her last name.

So she naturally carries that out-of-touch-with-reality elitist entitlement. No wonder she is exposing herself like some nouveau-riche kid from the ghetto.

Perhaps she very well is and that's how this can make sense.Most of the oligarchy were empty titles and no money until very recently.
 
Tupunguze starehe sasa kama unapata hela inabidi uinvest na si kutupa tupa ovyo, hawa wahindi tunaowaona wapo bongo nao ni akili tu sasa mbongo akifungua duka tu kariakoo mbona shida hapo atajiona tajiri kweli, wewe usijidanganye
 
kaaah!!nakumbukaaa zamanii nikisomaa nae..nilikuwa na mpigaa ma kweziii,alikuwaaa hana mvuto kabisaaa.now na mtamaniii ilaa hatanikumbukaa nilivyo paukaa huku sanyaa juu nalimaaa viazii we achaa tu
Hey Sanya Juu ipi nikuletee walau mafuta ya kujipaka? Ntakuungisha na kwenye viazi.
 
Mtoto wa kiislamu mbele ya watoto wa Kiislamu

002%5B3%5D.jp.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom