Binti Anataka Nizae Nae!!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Mambo vipi wana JF??!!

Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!

Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2!!!!
:mimba:

Wana JF nimpe anachotaka au nimnyime??!! coz wanasema kutoa ni MOYO!!!
 
kweli kutoa ni moyo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na sio utajri.

Toa ndugu, toa ndugu, ulichonacho na wewe bwana anakuona mpaka rohoni mwako
 
Unaonekana kabisa unataka sasa unachotaka ni kuungwa mkono tu!!Acha ujinga....mzalishe huyo uliye nae!!!
 
Akitokea jamaa naye kamzimikia Girlfriend wako, atake kuzaa naye tu kisha (mwanaume) amchukue mtoto,
Utajiskiaje?
 
Kumuua Kobe yataka timing! Ukirogwa tu ukakatia Mimba wafwa! ombi hilo ni zaidi ya mimba! STUKA MKUU!!??:hatari:
 
Mambo vipi wana JF??!!

Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!

Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2!!!!
:mimba:

Wana JF nimpe anachotaka au nimnyime??!! coz wanasema kutoa ni MOYO!!!

Mzee usithubutu anataka kukugeuza mtaji huyo ndo technique za mabinti siku hizi hizo.

Ukichomoa kuwa makini anaweza kukubambikizia sasa kimimba ikiwezekana mteme kabisa tafuta binti mwingine

Unaweza shangaa unalea mtoto wa kidume flani
 
Mambo vipi wana JF??!!

Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!

Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2!!!!
:mimba:

Wana JF nimpe anachotaka au nimnyime??!! coz wanasema kutoa ni MOYO!!!
Hapo kwenye red KUZINI JE ?
 
Nina wasi kwamba ukimzalisha huyo mdada unaweza kujuta, kwani anaweza kukuganda kama luba.
 
mbana mara nyingi wanaume ndo wanakazaniwa na mabinti wanaotaka kuzaa nao, vp we upande wako na girlfriend wako hujamkazania mzae naye? maana hizi kesi zimekuwa liukuki watuhumiwa wakiwa ni mabinti, mbona nyie mnawaambia mabinti mzae nao na hatusemiii?
 
Mmmh!! Ngumu hiyo kumkazania Binti kuzaa naye coz mara nyingi huwa 2nataka kumega na kukimbia!!!!

mbana mara nyingi wanaume ndo wanakazaniwa na mabinti wanaotaka kuzaa nao, vp we upande wako na girlfriend wako hujamkazania mzae naye? maana hizi kesi zimekuwa liukuki watuhumiwa wakiwa ni mabinti, mbona nyie mnawaambia mabinti mzae nao na hatusemiii?
 
Mambo vipi wana JF??!!

Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu!

Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2!!!!
:mimba:

Wana JF nimpe anachotaka au nimnyime??!! coz wanasema kutoa ni MOYO!!!

Wajanja huwa hatuli vibinti vya mtaani, tunakula vya mbali!!! SHTUKA!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom